Umesoma vizuri ukaelewa au umekurupuka kujibu?We jamaa bhana aliyekwambia betting wanagawa hela za bure ninani? ,,, Ofa yetote lazima iambatane na masharti kama hutaki bonasi nibora usikubali ukikubali bonasi nilazima utimize masharti yote mfano kuna bonasi mpaka uibetie mara nne ndio uruhiswe kutoa . Hakuna hela za bure kwenye betting bwana mdogo. Hizo bonasi zinawekwa kuvuta wateja lakini zina masharti magumu kuna kampuni zinatoa bonasi hadi milion 4 ila kuipata nimapaka utimize hivyo vigezo vigumu walivyoweka. Ksma huna hela ya kubeti nibora upumzike kubeti kuliko kutegemea bonasi
Mbona unaitetea sana hiyo co ya kitapeliWe jamaa bhana aliyekwambia betting wanagawa hela za bure ninani? ,,, Ofa yetote lazima iambatane na masharti kama hutaki bonasi nibora usikubali ukikubali bonasi nilazima utimize masharti yote mfano kuna bonasi mpaka uibetie mara nne ndio uruhiswe kutoa . Hakuna hela za bure kwenye betting bwana mdogo. Hizo bonasi zinawekwa kuvuta wateja lakini zina masharti magumu kuna kampuni zinatoa bonasi hadi milion 4 ila kuipata nimapaka utimize hivyo vigezo vigumu walivyoweka. Ksma huna hela ya kubeti nibora upumzike kubeti kuliko kutegemea bonasi
Majibu yote yanatolewa kwasabu hakuna jibu la direct as long huyu jamaa hajaambiwa kosa lake wala hajataja sababu ya msingi. Suala la kulipwa kifuta jasho linawezekana kuondoa usumbufu ,, mfano ameweka fixed game maana yake hakujua kwamba hizo,game bi fixed kumpooza ni busara, au mfumo umeleta error sio kosa la mbetigi au mwenye kampuni kumfuta nako ni busara lakini suala la kusema wameshindwa kumlipa sio sababu ya msingi. Wanatakiwa kumlipa hata kwa kushurutishwa. Pigabet ni miongoni mwa kampuni kubwa za casino hapa Tanzania. Ukipata nafasi ingia kwenye Kasino wanazomiliki The Gland casino au palm beach au Las vegas casino kwahiyo hiyo milion 27 bado ni kitu kidogo kwao ,, Tatizo huu uzi una vilaza wengi sana. Watu tumeanza kubeti tangu tunatumia Bwin ni miaka 20+ wengine tuna experince sasa anakuja mtu ameanza kubeti jana anaeleza uduwanzi wake hapa.Naona wafanyakazi wa pigabet wameshavamia jamvi kutetea kampuni yao.
Mmeambiwa kabisa walitaka wampe mil 3 ili wamalizane nyie mnakazania ni fixed game,kama ingekuwa ni fixed game hiyo mil 3 wasingempa
Bwana mdogo. Bonasi sio sheria ni hisani na ni biashara sasa mwenyewe umekiri kuwa wanachopata nikidogo kuliko wanachoingiza wakaondoa japo hawaja kuambia lakini sababu uliyotoa inatosha kabisa kusitisha hiyi bonasi 😂 wewe mwenyewe umesema ulifanya fraud ukawa na lain mbili ili upate bonasi hata hii sababu inatosha kufuta bonasi na hapa ungeshinda pesa kubwa usingelipwa kwakuwa na account zaidi ya moja ungekuja huku kulalamika ?Umesoma vizuri ukaelewa au umekurupuka kujibu?
Tulifata masharti ndiyo maana tulishinda na hela zikatoka kwa watu wa mwanzo badae walivyoona wanachotoa ni zaidi ya wanachopata wakaanza kuzuia hela kutoka na wakafutilia mbali kabisa kuanzia ushindi mpaka ofa yenyewe.
Ana hisa huyoMbona unaitetea sana hiyo co ya kitapeli
Labda nikuulize huwa unabeti kupitia hii kampuni labda?Majibu yote yanatolewa kwasabu hakuna jibu la direct as long huyu jamaa hajaambiwa kosa lake wala hajataja sababu ya msingi. Suala la kulipwa kifuta jasho linawezekana kuondoa usumbufu ,, mfano ameweka fixed game maana yake hakujua kwamba hizo,game bi fixed kumpooza ni busara, au mfumo umeleta error sio kosa la mbetigi au mwenye kampuni kumfuta nako ni busara lakini suala la kusema wameshindwa kumlipa sio sababu ya msingi. Wanatakiwa kumlipa hata kwa kushurutishwa. Pigabet ni miongoni mwa kampuni kubwa za casino hapa Tanzania. Ukipata nafasi ingia kwenye Kasino wanazomiliki The Gland casino au palm beach au Las vegas casino kwahiyo hiyo milion 27 bado ni kitu kidogo kwao ,, Tatizo huu uzi una vilaza wengi sana. Watu tumeanza kubeti tangu tunatumia Bwin ni miaka 20+ wengine tuna experince sasa anakuja mtu ameanza kubeti jana anaeleza uduwanzi wake hapa.
Anyway sasa jamaa wanataka wamlipe mililion 3 ili iweje?Bwana mdogo. Bonasi sio sheria ni hisani na ni biashara sasa mwenyewe umekiri kuwa wanachopata nikidogo kuliko wanachoingiza wakaondoa japo hawaja kuambia lakini sababu uliyotoa inatosha kabisa kusitisha hiyi bonasi 😂 wewe mwenyewe umesema ulifanya fraud ukawa na lain mbili ili upate bonasi hata hii sababu inatosha kufuta bonasi na hapa ungeshinda pesa kubwa usingelipwa kwakuwa na account zaidi ya moja ungekuja huku kulalamika ?
Zipo co mfano unapokea sms co inaitwa mulla sport! Moja bet! Wasafi! etc.Labda nikuulize huwa unabeti kupitia hii kampuni labda?
Maana sisi tunaobeti ambao mpaka tunamgroup fb na whatsap tunaijua hii kampuni upande wetu wa kubeti zaidi kuliko wewe unaiejua kiundani zaidi kwenye maswala mpaka ya umilliki wenza wa kampuni
Maana yake unalazimisha hiyo issue iwe ilishwahi kunitokea mimi? Mimi hsijawahi kunikuta hivyo sina screenshot ya kukulazimisha. Ingia jukwaa la askgambler uliza huko. Ninachoandika ni kulingana na experience yangu kwenye Tasnia ya betting kitaifa na kimataifa. Kubetia basket sio tatizo hata huko kuna fixed. Hatujahitimisha kwasababu wanaotakiwa kutoa hitimisho ni kampuni husika, na majibu ya malalamiko Gaming board. Mimi nimekisia changamoto mbili. 1. Fixed game, 2. Error ya mfumo. Haya mawili ndio yanayoweza kufanya mshindi yeyote asilipwe pesa yake. Ongeza la tatu kushindwa kufanya KYCHujaelewa swali ,sijaomba mfano wa fixed game nimeomba scenario moja ya uhalisa ambayo ilishawahi tokea ambayo either ilitiki then mshindi akanyimwa pesa yake au ililost akarudishiwa pesa yake
Halafu mbona mkeka wa jamaa uko wazi kabetia zake game za basket huko
Ndo maana nikatetea utetezi wangu kuonesha kuwa kampuni ina janja janja nyingi na ukurupukaji .Bwana mdogo. Bonasi sio sheria ni hisani na ni biashara sasa mwenyewe umekiri kuwa wanachopata nikidogo kuliko wanachoingiza wakaondoa japo hawaja kuambia lakini sababu uliyotoa inatosha kabisa kusitisha hiyi bonasi 😂 wewe mwenyewe umesema ulifanya fraud ukawa na lain mbili ili upate bonasi hata hii sababu inatosha kufuta bonasi na hapa ungeshinda pesa kubwa usingelipwa kwakuwa na account zaidi ya moja ungekuja huku kulalamika ?
Kwanini usimsaidie akapata haki yake kwenye sheria akakulipa milion 7 akabaki na 20?Anyway sasa jamaa wanataka wamlipe mililion 3 ili iweje?
Na kama kuna hivyo visababishi kwa nini bet ilikuwa won na hakuna pingamizi lolote walioliweka?
Kama kakosea kwa nini wanambembeleza ?
Inshort jamaa akitumia wanasheria nguli hiyo kampuni yako ya janja janja mtamlipa fidia kubwa mpaka mhame nchi ni vile tu jamaa labda hana uelewa wa sheria au uoga wa WaTanzania kudai haki zao 😂, ila kunaloopholes za utajiri mkubwa sana hapo kati
Wahuni wengi sana mkuu wakiongozwa na anaewapa leseni TGBZipo co mfano unapokea sms co inaitwa mulla sport! Moja bet! Wasafi! etc.
Kuna co kubwa hazisumbui sana
1. Betpawa
2. Sportbet
3. Sportpesa
4. Betway
5. Premier
In short co zipo nyingi sana. Unawekaje Hela Kwa mfano co inaitwa BIKO!
😂 kijana toa hoja zenye mashiko acha kujibembelezaNdo maana nikatetea utetezi wangu kuonesha kuwa kampuni ina janja janja nyingi na ukurupukaji .
Hiyo kampuni yako ilikuwa inafikia kipindi mtu unadeposit hela leo ila inaingia keshokutwa tena baada ya kupiga sana simu customer service
Inshort Bongo kampuni uchwara kama hizi zinajulikana
Maana yake unalazimisha hiyo issue iwe ilishwahi kunitokea mimi? Mimi hsijawahi kunikuta hivyo sina screenshot ya kukulazimisha. Ingia jukwaa la askgambler uliza huko. Ninachoandika ni kulingana na experience yangu kwenye Tasnia ya betting kitaifa na kimataifa. Kubetia basket sio tatizo hata huko kuna fixed. Hatujahitimisha kwasababu wanaotakiwa kutoa hitimisho ni kampuni husika, na majibu ya malalamiko Gaming board. Mimi nimekisia changamoto mbili. 1. Fixed game, 2. Error ya mfumo. Haya mawili ndio yanayoweza kufanya mshindi yeyote asilipwe pesa yake. Ongeza la tatu kushindwa kufanya KYC
Siku ukivunja sheria kwa swala ambalo lipo ndani ya uwezo au nje ya uwezo utakavyokuja kulalamika kuhusu hizo kampuni ulizozitaja nitakufafanulia piaZipo co mfano unapokea sms co inaitwa mulla sport! Moja bet! Wasafi! etc.
Kuna co kubwa hazisumbui sana
1. Betpawa
2. Sportbet
3. Sportpesa
4. Betway
5. Premier
In short co zipo nyingi sana. Unawekaje Hela Kwa mfano co inaitwa BIKO!
Halafu hapo utakuta ni fala aliyeshindwa ku login ,, embu serch sportpesa ni matapeli kama hutakuta? Au spotybet au betpawa wanafuta mikeka yote utakakuta kwasababu watu wengi wanaobeti hasa waliopoteza kuna mda akili zinachanganyikiwa😂 au serch 1xbet ni matapeli lazima utakuta kwahiyo hoja yako haina mashiko
Ni vile sio mwanasheria ,but naamini wadau wengi tumeshauri atafute jopo la wanasheria na mawakili akifata ushauri atapata stahiki yakeKwanini usimsaidie akapata haki yake kwenye sheria akakulipa milion 7 akabaki na 20?
Kampuni yako imekaa kitapeli ndiyo maana haikui kila siku iko palepaleHalafu hapo utakuta ni fala aliyeshindwa ku login ,, embu serch sportpesa ni matapeli kama hutakuta? Au spotybet au betpawa wanafuta mikeka yote utakakuta kwasababu watu wengi wanaobeti hasa waliopoteza kuna mda akili zinachanganyikiwa😂 au serch 1xbet ni matapeli lazima utakuta kwahiyo hoja yako haina mashiko
Ndio , humu hakukosi mwanasheria na hata akizingatia ushauri aliopewa nilazima atatafuta mwanasheria na pia hii ni kesi yenye maslahi so nilazima atafanya hivyo . Tusubiri updateNi vile sio mwanasheria ,but naamini wadau wengi tumeshauri atafute jopo la wanasheria na mawakili akifata ushauri atapata stahiki yake
Na wewe mbona umetoa jibu la swali moja wakati nimeuliza matatu hayo mbona hujayajibu 😂
Ngoja nirudie labda hukuyaona
Anyway sasa jamaa wanataka wamlipe mililion 3 ili iweje?
Na kama kuna hivyo visababishi kwa nini bet ilikuwa won na hakuna pingamizi lolote walioliweka?
Kama kakosea kwa nini wanambembeleza ?
Kukua ukiwa na maana gani au tupe mfano wa kampuni iliyoanza chini ikakua kwenye betting au labda unajua Gross profit yao?Kampuni yako imekaa kitapeli ndiyo maana haikui kila siku iko palepale