dronedrake njoo huku kijana anataka aisaliti kambi. Ila mwamba umekubuhu 7 times per day inahitaji maombi kabisa.

Fanya kazi, fanya mazoezi sana hakikisha unablock site zote chafu.
 
Wewe ndio mmiliki wa mwili wako mkuu, ukishindwa kujitawala mwenyewe nafikiri kutakua na tatizo mahali

Tafuta mwanamke ambaye ukihitaji tu anakuja chap itakusaidia!!
 
Kisaikolojia,kuacha tabia ukiyoizoea hasa tabia has Kama punyeto na kuangalia porn inakuwa ni Vita kubwa ya kupambana na nafsi yako na wengi wameshindwa hiyo Vita.

Wengi wanapoamua kuacha punyeto wanadeal na mwili ambao wenyewe ni Kama unapata to maelekezo kutoka ndani (nafsini)

Punyeto inakuweka mbali na Mungu maana inachafua ROHO.

punyeto kills your sexual desire.

Punyeto corrodes your mind.

Punyeto inakufanya uwe msahaulifu (kupoteza kumbukumbu).

Punyeto ni malango(mlango) wa kuingia rohoni kutoka kwenye nafsi. Once u are addicted,unakuwa mtumwa.

Kuna uwezekano mkubwa wa kuwa shoga Ukiwa mpiga nyeto. How? Unapozoea punyeto unajikuta unafanya staili mbalimbali Iili mradi tu ujiridhishe na happy ndiyo unakuwa mwanzo wa kujaribu kufanya mambo ya kishetani zaidi na wengi hujitia kidole kwenye tupu ya nyuma. Hiki kipengere waangalia porn panawahusu Sana)

MBINU ZA KUACHA PUNYETO.

1. Futa video za ngono zote kwenye simu/computer yako.

2. Unfollow na block accounts zote zenye maudhui ya ngono. Mfano kule Twitter account zinazoandika "muda wa kupost picha watoto wameshalala"

3.Tafuta mwanamke. Yes,tabia uliyoizoea inaachwa kwa kuadapt tabia mpya. Ukwa mtu wa kula mbususu automatically unakosa muda wa kufanya masturbation. Hapa zingatia Kama unataka kuacha kweli maana Kuna walio kwenye ndoa wengi tu wanapiga punyeto.

4. Fanya mazoezi. Nenda gym au jifunze martial arts.

5. Anza kusali. Ukiwa mtu we dini unajenga hofu ya Mungu.

6.Fanya meditation ili ku-purify your dirty soul. Roho ikiwa Safi mwili utakuwa safi pia na hautakumhuka Tena huo uchafu. Hapa ndipo penye matibabu kamili maana roho ikiwa chafu Mara nyingi utakuwa mtu wa kukumbuka tabia ya zamani,hatimaye utajikuta unarudia kupiga nyeto.

Asante.
 
Kumbe unajua mkuu
 
Chai
 
Kuacha huu mchezo sio rahisi
Ushauri wangu ni huu
-Epuka kukaa ndani mwenyewe jitahidi ukae na watu au ukiwa mwenyewe basi jipe vikazi vya hapa na pale
-Kama unaangalia porn, acha.
-Ukienda kuoga oga chap utoke bafuni
-Wakati wa kulala epuka kushika sehemu za siri
-Kama we ni mtu wa dini basi piga maombi muombe sana Mungu
Anza kufanya
#No-fab challenge
 
[emoji120][emoji120][emoji120] nashukuru sana aisee
 
[emoji120][emoji120][emoji120] nashukuru sana aisee
Mwanzo itakuwa ngumu Sana.

Ila itaanza wiki haujapiga,Kisha jipongeze,baadae weka malengo ya mwezi,Kisha miezi na hatimaye utaanza kusahau na kuichukia punyeto moja kwa moja.

Kila la heri mkuu katika safari yako ya maamuzi magumu.
 
Usikae peke yako, usikae gizani, usiangalie video za ngono.
 
Ukitaka kuacha punyeto soma kitabu kimoja kinaitwa THE POWER OF POSITIVE THINKING na MAGIC OF THINKING BIG ukimaliza kusoma hivyo na bado unaendelea na punyeto nitafute

Pornography and homosexuality are connected with spiritual health you can't quit it without a spiritual power.
 
Punyeto nimeanza kupiga toka niko darasa la sita mpaka leo nakimbiza 35+ nipo vizur tu na show napiga vizur tu
Maajabu yake sasa; Siku utayoamua kuacha ndo utapoanza kuona madhara. Ni vema usiache.

Madhara ya awali ya kujichua, ni, kutoacha kujichua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…