Kma ilivyo kichwa cha habari hapo juu. Wadau naombeni msaada. Wa kuhusu namna ya kuacha huu mchezo wa kujichukulia sheria mkononi. Nimekuwa addicted nao sana yani naona kunako elekea kubaya maana niliamza mdogo mdogo ila sasa nishazoea naweza hata kufanya mara saba kwa siku . Niokoen8 vijana wenzangu. Asante nawasilisha
Kisaikolojia,kuacha tabia ukiyoizoea hasa tabia has Kama punyeto na kuangalia porn inakuwa ni Vita kubwa ya kupambana na nafsi yako na wengi wameshindwa hiyo Vita.
Wengi wanapoamua kuacha punyeto wanadeal na mwili ambao wenyewe ni Kama unapata to maelekezo kutoka ndani (nafsini)
Punyeto inakuweka mbali na Mungu maana inachafua ROHO.
punyeto kills your sexual desire.
Punyeto corrodes your mind.
Punyeto inakufanya uwe msahaulifu (kupoteza kumbukumbu).
Punyeto ni malango(mlango) wa kuingia rohoni kutoka kwenye nafsi. Once u are addicted,unakuwa mtumwa.
Kuna uwezekano mkubwa wa kuwa shoga Ukiwa mpiga nyeto. How? Unapozoea punyeto unajikuta unafanya staili mbalimbali Iili mradi tu ujiridhishe na happy ndiyo unakuwa mwanzo wa kujaribu kufanya mambo ya kishetani zaidi na wengi hujitia kidole kwenye tupu ya nyuma. Hiki kipengere waangalia porn panawahusu Sana)
MBINU ZA KUACHA PUNYETO.
1. Futa video za ngono zote kwenye simu/computer yako.
2. Unfollow na block accounts zote zenye maudhui ya ngono. Mfano kule Twitter account zinazoandika "muda wa kupost picha watoto wameshalala"
3.Tafuta mwanamke. Yes,tabia uliyoizoea inaachwa kwa kuadapt tabia mpya. Ukwa mtu wa kula mbususu automatically unakosa muda wa kufanya masturbation. Hapa zingatia Kama unataka kuacha kweli maana Kuna walio kwenye ndoa wengi tu wanapiga punyeto.
4. Fanya mazoezi. Nenda gym au jifunze martial arts.
5. Anza kusali. Ukiwa mtu we dini unajenga hofu ya Mungu.
6.Fanya meditation ili ku-purify your dirty soul. Roho ikiwa Safi mwili utakuwa safi pia na hautakumhuka Tena huo uchafu. Hapa ndipo penye matibabu kamili maana roho ikiwa chafu Mara nyingi utakuwa mtu wa kukumbuka tabia ya zamani,hatimaye utajikuta unarudia kupiga nyeto.
Asante.