Nimeshindwa kuacha kujichua
Huu uoga Mnaowapa watu kuwa kushindwa kuhimili sex shida ni nyeto ndo mnawatemgenezea mentality iyo ya uoga ili mpate soko la kuuza dawa za nguvu za kiume.

Kuna watu hawajawai ata kupiga nyeto na wana Uume uliolegea au hawawezi ata kusex au wakisex wanakojoa kimoja tu. Je uyo utamwambia shida ni nyeto
Side effect sio moja mkuu pia uwezo wang wa kuona mbali ni mdogo
 
Side effect sio moja mkuu pia uwezo wang wa kuona mbali ni mdogo
Poor, Uongo mtupu[emoji23] kama kuona ata ukisex pia hautaona maana kama ni shahawa zinachomwaga kwenye sex ndo izo izo ziinzoomwagwa kwenye nyeto. Au kwneye nyeto wanamwaga damu
 
Kuna wengine Wana wake na Bado wanajichua,
Raha jipe mwenyewe mengine ya ziada tu!
 
Kuna madocta wa mchongo hua wanadanganya eti tatizo la nguvu za kiume huletwa na Nyeto ni uzushi tu

Mimi nimeanza kupiga tangu mwaka 2002 na mpaka leo napiga na mademu napiga kama kawaida na sina mmoja ninao kama saba ambao nipo nao active.
Tehtehh[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]hapo mwishoni kwamba wako 'Active'
 
HV Hawa wanaopiga nyeto usingizini Ni kina Nani je ipi Bora utumike kiroo kufanyizwa mapenz na majini au uchill sehemu alone upige nyeto



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
HV Hawa wanaopiga nyeto usingizini Ni kina Nani je ipi Bora utumike kiroo kufanyizwa mapenz na majini au uchill sehemu alone upige nyeto



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kupiga nyeto usingizi sio majini ni Mwili umezidiwa hisia za kingono ko unacheua kaka.

Mwili umeumbwa ivo, unavozalisha lazima kinachozalishwa kitumike sasa ww unazalisha maprotein unayarundika uko mwili hufanyi ata mazoezi ya kuyapunguza saaa unataka nn lazima mwili utafute namna ya kuyatoa kama taka mwili ambayo ndo iyo kupiga nyeto usingizini.

Ila ukipiga nyeto unakuwa ni Voluntary action sasa kwmaba umeamua sasa wewe mwenyewe uzitoe eiher kwa nyeto au kwa sex. Ila usipoamua zitatoka zenyewe
 
Kutokuwa imara kwenye sex sio nyeto mkuu.

Kwanza Tambu nyeto ni kama yale mazoezi ya simulator yaan kuna mtu anajifunza kuendesha Gari kwa kutumia yale masimulator ko akija kukutana na gari real anakuwa strong kudrive na anafundishika fasta anaelewa maana ashajifunza kujicontrol

Na nyeto ni ivo ivo, kitendo cha kupiga nyeto unaupigisha tizi Uume wako ko siku ukikutana na mwanamke unakuwa imara kuhimili tendo vibaya mno.

Mtu kushindwa kuimili sex labda iwe ni Mentality ya uoga uliyonayo kichwani au mazigira mtu anayofanyia sex pengine hayasaport au anaefanya nae lakin sio nyeto
Unaponza vijana, nyeto ni adui wa Taifa
 
Japo punyeto ina matumizi mazuri na mabaya, wengi wetu tumejikuta tumeangukia kwenye matumizi mabaya ya punyeto. Tuangalie matumizi mabaya ya punyeto.

Ni yale ya kujichua sababu una nyege na umeshindwa kujizuia. Ni yale ya kujichua bila mpango maalumu wa kujiimarisha misuli. Ni yale ya kujichua ili kujipooza hisia, pengine ukiwa unaangalia video za ngono. Hadi kupelekea kujiona hufai mbele ya jamii. Au imefikia hatua hata kumridhisha mwanamke wako imekua ni shida.

Kila ukijichua vibaya unajiambia leo ndio siku ya mwisho, lakini kesho tena unajikuta umejichua hadi unaichoka tabia yako. Kama unaona umeshachoka na hali ya kujichua ni muhimu pia upate mwongozo wa namna ya kuacha.

Anza na maamuzi
Kiukweli safari haitakua rahisi, sababu ulishazoea kwamba muda fulani mi lazima nijilipue. Maamuzi yatakusaidia kuona upande wa pili wa sarafu kwamba unaweza kuishi bila kujichua vibaya katika muda uliouzoea, pia maamuzi yatakukumbusha kuwa una mpango wa kuacha.

Maamuzi hayo yanajumuisha;
~ Kuamua nini utafanya kama mbadala wa punyeto.
~ Kuamua nini utafanya endapo hisia za kumiss punyeto zikikujia.
~ Kuamua nini utajiambia moyoni ili kujishawishi uache.
~ Kuamua nini ufanye kubadili mazingira yasikushawishi tena. Hili ni muhimu.
~ Kuamua nini utafanya ili uhakikishe utaendelea kuwa na nidhamu katika safari yako ya kuacha punyeto mbaya. Yaani kubadili tabia kiujumla. Maana kwa sasa hiyo ni tabia tu, hivyo ukiweza kujilazimisha tabia mpya utasahau hata kama uliwahi kujichua vibaya.

Jifunze kuendesha hisia zako
Usiziache zikuendeshe. Pazuri pa kuanzia ni kujitambua hisia zako na maneno unayojiambia mara kwa mara. Hisia ndizo hutufanya tufanye jambo fulani. Kwaiyo uzitumie vizuri.

Wakati unaendelea na safari hiyo, kwanza ukubali kuwa una maendeleo nzuri. Kama ulikua unajichua mara 3 kwa siku, halafu ukaja kujichua mara moja kwa siku, tambua kuwa umejitahidi. Jipe pongezi. Kuashiria unachokifanya ni sahihi, ila usijilaumu kuwa umejikuta umejichua japo ulitaka uache kabisa.

Ebu fananisha na hii, kama mtu ulizoea kula mara 3 kwa siku halafu ghafla ukaambiwa unywe chai tu mpaka kesho. Unafikiri utaweza vumilia? Hapana. Na ndio hivyo kwenye kuacha, ukiona umepunguza kutoka kujichua mara 5 kwa wiki hadi kujichua mara 3 kwa wiki tambua umefanikiwa.

Halafu ujiwekee malengo mapya kuwa unataka kujichua mara 2 kwa wiki, ukiweza unajiwekea mara 1 kwa wiki, ukiweza unajiwekea mara 3 kwa mwezi. Mpaka inafikia hatua huoni haja ya kujichua tena.

Pia katika kupunguza kujichua, tambua kuna siku ambazo utateleza. Hizo zisikufanye ujione mbaya, au ujione umeshindwa. Unaweza jiambia, sio kila siku ni jumapili. Hata Simba na Yanga hazishindi kila mechi.

Kuteleza kidogo kusikuyumbishe, zingatia zaidi maendeleo yako kuliko unapofeli. Hivyo ni muhimu kujitambua, kutambua kuwa una maendeleo. Ukishatambua hilo unajitengenezea kujikubali. Usipojikubali na maendeleo yako utajikuta unarudi ulipotoka.

Hivyo kila mara jikumbushe kuwa unafanya vizuri, una maendeleo mazuri. Jikubali na ujisifie pale unapokuwa na maendeleo yoyote, usijishushe na kuona unafanya vibaya.

Pili achana na kuhesabu siku
Kwamba mimi nipo siku 20 bila kujichua (no Fap). Hilo litaufanya ubongo wako ukumbuke kuhusu kujichua. Achana nayo. Badala yake upe ubongo wako kazi nyingine kabisa.

Hesabu siku kwa jambo lingine. Mfano, mi nilijiwekea kuwa nataka nicheze chess kwa siku 10 badala ya kuhesabu sijapiga puli kwa siku kumi. Hata kama ilitokea nikateleza niliendelea kujipongeza kwa kuweza kucheza chess, mpaka nikazoea maisha mapya.

Unaweza kujiwekea kitu chochote cha kufanya, labda kusoma, kucheza draft au lolote ambalo unalipenda. Angalia hapo nimekuambia lolote utakalolipenda, usije ukajilazimisha kitu usichokitaka. Sababu safari ya kuacha kujichua si rahisi mwanzoni. Kwanini ujipe mzigo mwingine. Hivyo, weka nguvu zako kwenye kitu kingine na usiweke nguvu zako kwenye kuacha kujichua.

Tatu, tafuta mpenzi
Kuwa na mpenzi kutakusaidia pia kuacha kujichua, lakini kama unaye halafu bado unajikuta unajichua, basi tambua kuna tabia inabidi ubadili. Tabia ya ubinafsi, hivyo; anza kufikiria kumridhisha mpenzi wako, anza kumsikiliza kiundani mpenzi wako, anza kujifunza kumjali mpenzi wako, anza kujifunza kumhudumia mpenzi wako, anza kumshirikisha vitu mpenzi wako.

Kumbuka kama wapo walioweza, hata nawe unaweza. Anza kubadili vile unajiambia moyoni, usijiambie ntaacha kesho au hii ndo ya mwisho, bali jiambie kuhusu mambo mengine yanayokuvutia.

MUHIMU: Jipe muda, jipe muda kuzoea tabia yako mpya unayojijengea.
 
Kma ilivyo kichwa cha habari hapo juu. Wadau naombeni msaada. Wa kuhusu namna ya kuacha huu mchezo wa kujichukulia sheria mkononi. Nimekuwa addicted nao sana yani naona kunako elekea kubaya maana niliamza mdogo mdogo ila sasa nishazoea naweza hata kufanya mara saba kwa siku . Niokoen8 vijana wenzangu. Asante nawasilisha
 
Back
Top Bottom