Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Mtz mpaka afe ndo utajua maisha yake halisi

Akiwa mzima lifestyle yake mtandaoni hua ni full ushua hata kama hana..

Mtu wa soka tena ambaye hupenda kuangalia na kulisakata (baadhi yetu) hua tunapata burudani tu hata tukiangalia ndondo.

N.B Tunaheshimu maamuzi yako mkuu.
 
Sifanyi huo ujinga kwenda kuangalia mechi za watu wamekaa wanavuta bangi visu kiunoni wanasubiri mpira uishe waanze kuiba na kutukana matusi uwanjani ndondo utaangalia peke yako
 
Sifanyi huo ujinga kwenda kuangalia mechi za watu wamekaa wanavuta bangi visu kiunoni wanasubiri mpira uishe waanze kuiba na kutukana matusi uwanjani ndondo utaangalia peke yako
Ngoja nikuchangamshe kidogo pm naona huna adabu
 
Mimi mwenyewe mpira WA bongo siupendi kabisa ....

Quality mbaya ...

Viwanja vibaya ,vinavipara ....

Hata uchezaji Ni mbovu Hakuna vipaji kiufupi tunaforce ....

Nikitoka kwenye screen ya mpira WA ulaya ,ball la man city lilivokuwa linatembea kwenye kapeti aisee harafu ukarudi kwenye screen mpira WA kibongo sijui singida vs Yanga aiseee mpaka mood ya kuangalia mpira inaisha 😂...

Labda Kwa vile nimekuwa nikiangalia mpira WA ulaya Kwanza ,harafu ndio nikafata WA bongo ....
 
kila kitu ni hatua, tanzania ya ccm imechagua kuanza na chumba kimoja cha slope....haijui lini itajenga nyumba nzuri. tumejificha kwenye usemi wa sisi masikini,hatuwezi kujiendesha hadi tukope na tukikopa tunajiibia zinaishia maofisini kwa kujifisadi wenyewe..tunasahau kuwa tulikopa ili tujenge. Nakupa pole ndugu yangu....kuongozwa na mtu asiyekuwa na maono ni hatari sana...ikubali tu ligi ya nchi yako maana hakuna namna...hata ukifa tutakurudisha kwa ardhi yetu hii hii ya ligi ya uchafu😛
 
Yaani hata Mimi hivyo hivyo yaani naona kama matuta ya viazi viwanja vya bongo kama jalalani yaani ni uchafu Fulani hivi
 
Binadamu tunatofautiana,unachokipenda wewe sio lazima na wengine wakipende!!
Hakukua na ulazima wa wewe kuita mpira wetu takataka!!
Siku nyingine we sema tu hupendi mpira wetu basi!! Tutakuelewa!!
Wengine tunapenda na tuko Proud of it!!
 
Inahitaji jicho fulani la kibongo kuuelewa mpira wetu bila hivyo lazima utaukataa. Haina tofauti sana na kuangalia basketball yetu, takataka tupu.

Au haina tofauti na upungufu wa mipango miji katika mji kama Dar es Salaam. Ujenzi holela, watu wanafanya biashara holela, vibanda vya bati na mbao za kuokoteza kila mahali. Bila jicho la kibongo utataka utembee umefumba macho.
 
Sifanyi huo ujinga kwenda kuangalia mechi za watu wamekaa wanavuta bangi visu kiunoni wanasubiri mpira uishe waanze kuiba na kutukana matusi uwanjani ndondo utaangalia peke yako


Mkuu ww si mtu wa mpira unaowaangalia kwa TV usidhani wameanzia tu huko.
 
Yaani hata Mimi hivyo hivyo yaani naona kama matuta ya viazi viwanja vya bongo kama jalalani yaani ni uchafu Fulani hivi
Mkuu mim Naona tatizo Ni mwonekano aisee ,sijui azamu wanatumia camera za tecno ,...

Viwanja vichovu ,bado camera zenye ukungu ,Hakuna uangavu wowote ...

Bora hata wawe wanacheza Simba na Yanga camera zinakuwa nyingi nzuri ,aisee zikicheza timu nyingine Ni majanga camera moja ya infinix ndio inakuwa inazunguka uwanjan mzima ,kuna muda hata mchezaji Haonekana ,inaonekana jezi ....

Technology mbovu mnoo
 



Mkuu acha ulimbukeni.

Mtu anaweza akawa Simba au Yanga lakini aka_apreciate uwezo wa mchezaji au team nyingine

Mtu wa boli hawezi akawa na mawazo hafifu kama yako.
 
Yaani ligi ya bongo kama uchafu Fulani hivi ukiangalia kitimu kidogo ulaya na ukifananisha na simba na yanga ambazo tanzania ndio timu kubwa yaani ni mbingu na ardhi
 
Yaani ni kituko aisee hata viwanja ni vioja fikiria Benjamin mkapa ndio uwanja Bora tanzania aisee ni kituko hichi
 
Mimi nadhani nina miaka 20 niliachana na habari za kuangalia mipira ya ligi ya Tanzania!
Kweli aisee ngoja na Mimi niachane nao maana nimejilazimisha naona kama naangalia wakulima
 
Bongo Hakuna mpira Mzee ,kuna siasa na kujifurahisha ....

Imagine lazima uwe shabiki WA "Simba au Yanga "

Fala kabisa 😂

Tofauti na hapo ,watu wataaanza kukuuliza kwani unashabikia timu gani ukisema hata mashujaa ,hapo utatukanwa tusi moja hata shetan anaweza kusimama😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…