Nimeshindwa kuvumilia, naomba msaada wenu jinsi ya kuachana na mzazi mwenzangu

Mwanume wa hovyo
 
achana nae ila kwanza mfklie mtoto
 
Watu huzaa hufikiria kuwa ndio utamdatisha mwanaume mkiwa na mtoto kumbe wala wenzenu wanaenda oa ambao hawana watoto au wengine wenye watoto
 
na hy ndo silaha aliykuwa nayo huyu mzaz mwenzk ila kuwa na watot sio sabab ya watu wasiachane
Kuna mdau kanishauri niende ustawi wa jamii nipewe muongozo wa kuhudumia mtoto.
Tareh 16 nitaenda niwasikilize wanasemaje, Kama watakuwa na suluhu sawa kama hawatakuwa nalo nitajua Cha kufanya nishayakanyaga hamna namna.
 
Sasa shida ipo wapi na mmeishaachana maana hamuishi pamoja?kuhusu matunzo lazima utoe tu,kiwango nenda ustawi wa jamii au dawati la jinsia kwenye kituo Cha polisi, utapata mwongozo
 
ila fkiria maamuz yako mara 10 10 je n kwel unatakiw kuachana nae ucje ukajtia maamuz yako baadae
Kiukweli Mimi na huyu mama tulishakubaliana HAKUNA NDOA kati yetu. Lakini niliahidi kumtumza na kumhudumia katika Kila Hali kipindi alipobeba mimba. Akaamua kuvua majukumu yake yote nikabeba Mimi kwa kisingizio Cha mimba, nikaona sio mbaya nikafanya Kila kitu nadhani mshahara wake Kama alikuwa hasaidii ndugu zake basi upo wote bank mpaka leo.

Sasa nashangaa mambo yanazidi kuwa mengi.
 
Sasa shida ipo wapi na mmeishaachana maana hamuishi pamoja?kuhusu matunzo lazima utoe tu,kiwango nenda ustawi wa jamii au dawati la jinsia kwenye kituo Cha polisi, utapata mwongozo
Nashukuru mkuu
 
Hii ni ngumu hatuwezi kusikiliza upande mmja tu na kutoa ushauri.......Siku zote Kuna mmja tu lazima atataka aonekana yeye si mdhambi
Yani ww lea mtoto ako basi mambo mengine yote ni ujinga wako plus wa huyo mwanamke wako
 

Aiseh
 
Sababu ilikua ipi ya nyie kukubaliana kuwa hamna ndoa kati yenu?

Wewe ni dini gani??

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sababu ilikua ipi ya nyie kukubaliana kuwa hamna ndoa kati yenu?

Wewe ni dini gani??

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mimi sikuwa tayari kuoa kwa muda ule nakutana nae mpaka Sasa. Ikabidi nimueleze uwazi kabisa ajue sio mwisho aje kunilaumu nimepoteza muda wake.

Na kabla hajapata mimba nilimpa uhuru ukipata mtu ana malengo na wewe endelea nae Mimi Bado sana mambo ya kuoana
 
Kiumri ni 23, pia Hilo la kikundi Cha watu amewahi kunigusia staff mwenzie kwamba Kuna watu wanamjaza aolewe na Mimi kwa gharama yoyote.
Miak 23[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ukampa na ATM card??? Wew ndo mwenyw matatizoo..
 
Kwakweli hapa nilifanya kosa kubwa linalonigharimu pakubwa kiongozi.

Kiongozi i[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nmecheka kinoma
 
Fanya umuoe mtoto wa watu atatulia huyo[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…