Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Hizo nchi zote zilianzishwa au watawala wake walisimikwa na mabwana zao waingereza.

Wote hao ni mashoga wa mazayuni na USA.
 
Mnaoelewa vizuri hii lugha tusaidieni tafsiri please.
 
Allah Akbar !!!
 

Hatari sana sheikh. Mi mwenyewe wallah nimeshtuka sana.
 
Tatizo medias zinazokulisha hiyo taarifa ni monopolysed by Jews, unategemea waseme wamechapwa, madhara ya hizo unazoziita baruti (drones),anazijua Benjamin Nentanyahu, waziri wake wa ulinzi na viongozi wao waaandamizi wa karibu
 
Hana akili huyo ,Iran hajalenga raia kalenga kambi za jeshi na Isreal Wana sera yao ya kuficha madhara wanaposhambuliwa ili waonekane wao Bora anategemea Nani ataingia kambi hizo za jeshi na kupiga picha ili aine yeye aliyekuwepo huko nanjilinji ,Iran level nyengine ukitaka nchi 10 bora kwa kutengeneza zana za kivita bc Iran lazima iwepo na haishiki namba ya mwisho.
 
Mbona unatulisha tango pori. Tuletee ushahidi.
 
Marekani na washirika wake wamesema wanashukuru kwa kuwa makombora zaidi ya 99% yaliyorushwa ,na Irani yanezuiwa/kuharibiwa na kama hayo makombora yangefanikiwa kuipiga Israel basi hali ingekuwa mbaya sana kwa upande wa Irani kwasababu Israeli ikijeruhiwa huwa haichagui pa kupiga, iwe msikiti, hospitali au handaki yenyewe inatandika tu.

Kwa upande wa Israeli baada ya kufanya tathimini ya madhara yaliyotokana na mashambulizi ya makombora ya Irani wamegundua kuwa kuna binti wa kiizraeli amejeruhiwa mguu na makombora ya Irani.
na hivyo Israeli kuapa kulipa kisasi.

Kamati ya vita ya Israeli imekaa na kuapa kuwa miji kadhaa ya Irani inakwenda kulipa gharama za kumjeruhi mguu BINTI wa kiizraeli
 
Sema Uislam unaibukia Magharibi.

Hivi hauelewi kuwa Uislam unakuwa kwa haraka magharibi kuliko kwengine kokote duniani?
 
Mbona unatulisha tango pori. Tuletee ushahidi.
Mkuu, Ilani ni noma. Mpaka sasa Mayahudi yamejificha kwenye mahandaki, ile mitaa yote hakuna hata mtu anatembea wala kuonekana. Vyombo vya habali vya magaribi vinaonyesha eti maisha yanaendelea kukbe wanaonyesha picha za zamani.
Ilani kamwambia Marikani ole wako ukiingilia na wewe na kuvamimia na kukutwanga, Marikani kusikia hivyo kaenda kumeambia Israili, mimi siingilii vita yenu, sitaki shida na Ilani na sina ugomvi nae. Israili kusikia hivyo kaogopa, na mpaka sasa hajajibu. Ilani kamwambia ukijibu safali hii nakufuta kabisa na nchi yote mawapa wapalestina, Israili kasema basi yaishe.
Mkuu we fuatilia habari, niamini mimi ndiyo nakwambia, achana na vyombo vya habari vya wazungu havisemi ukweli.
 
Una point lakini unaweza jifunza kwanza kuandika?
 
Sema Uislam unaibukia Magharibi.

Hivi hauelewi kuwa Uislam unakuwa kwa haraka magharibi kuliko kwengine kokote duniani?
Unakua au waislam wanakimbilia Magharibi? Usisahau pia kwamba idadi ya waislam waliopo Marekani ni ndogo ukiringanisha na Wakristo waliopo Saudia. Na hapo Waislam wa Marekani wapo huru kwa kila kitu wakati Wakristo wa Saudia hawaruhusiwi kujenga makanisa wala kusali hadharani.
Kingine, uislam ukifika Magharibi unabadilika na kubaki jina tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…