Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Inashangaa eti wamerusha makombora ila hakuna madhara?mnasema media zinaficha ukweli,makombora siyo kama mawe ya manati madhara yangeonekana
 
Hata clips za wananchi wa kawaida wa Israel zingevuja,madhara yangaonekana tu acheni bla bla
 
Hata clips za wananchi wa kawaida wa Israel zingevuja,madhara yangaonekana tu acheni bla bla
ndugu, madhara yapo, na sasaivi Israel wamejiandaa kuna vita kubwa ipo mbeleni hapa, kama uliona jana na leo, ben gulio international airpot imekuwa congested kiasi kwamba wanashindwa hata kupumua, watu wanakimbia nchi, na inaonekana wameonywa wakimbie nchi kwasababu kuna vita kubwa tu inaandaliwa, na wamesubirisha kidogo wananchi wengi waondoke nchini manake actually wengi wana uraia wa nchi mbili.baada ya hapo, Mungu aisaidie tu hii dunia kwasababu najua hata iran naye hatakubali ushindwa, na vitapigwa vita vikali tu.
 
Sema Uislam unaibukia Magharibi.

Hivi hauelewi kuwa Uislam unakuwa kwa haraka magharibi kuliko kwengine kokote duniani?
Wahamiaji haramu, ila Ukristu pia unakuwa kwa kasi Asia kuliko pengine popote.
 
Bila shaka wewe ni muabudu mfuuu, alafu kama hayo mafataki mbona Israel waliomkataa yesu wameshindwa kuyatungua mpaka wamesaidiwa na marekani
98% ya vitu au bidhaa unazotumia ni za makafiri. Ukisema waislamu watumie bidhaa zao watabaki na
1. Kanzu
2. Quran
3. Maji ya zamzam
4. Tende
5. Mkojo wa ngamia
6. Msikiti
7. Udi / ubani.
Subiri siku ya ramadhan ukachape viboko wanaokula mchana. Mfuu siku zote hutetewa na wanadamu, akitukanwa au kitabu chao kikichanwa wanaandamana kwasababu wanayemuabudu hana uwezo wa kujitetea mpk atetewe na wanadamu
 
Sarcasm
 
Ni fikra zakonkwa juwa huna unachokielewa, unafikiri ni ushabiki wa simba na yanga.
Sawa wewe ndiye unaelewa vyema yaliyotokea.
Endelea kutetea "ndugu katika imani" wenzio, ndicho muwezacho pekee.
 
kombora kutoka Iran linaanza safair likiwa njiani Hao mashosti wa Israel wanatoka walipo na kufika mpk uwanja wa kiyatungua ila Kombora bado halijafika Israel , na bado unapata nguvu ya kushangilia tu
 
Bila shaka wewe ni muabudu mfuuu, alafu kama hayo mafataki mbona Israel waliomkataa yesu wameshindwa kuyatungua mpaka wamesaidiwa na marekani
Kombora linagoka Iran , Mtu anatoka alipo anafika hadi Israel na Jordan kisha wanaanza yatungua bado Makombora hayajafika Israel , unapata wap ujasiri wa kuendelea kushangilia ?
 
Tatizo medias zinazokulisha hiyo taarifa ni monopolysed by Jews, unategemea waseme wamechapwa, madhara ya hizo unazoziita baruti (drones),anazijua Benjamin Nentanyahu, waziri wake wa ulinzi na viongozi wao waaandamizi wa karibu
mbona mashambuliz ya hamas yalioneshwa , hata maeneo yaliathiriwa yalioneshwa , nyie wabantu kichwan kuna nati zimelegea , mkiamini mtu X ni mbabe bas akifanya lolote mnataka pia likuza na hamkubaliani na ukwel mtakaoambiwa
 
kombora kutoka Iran linaanza safair likiwa njiani Hao mashosti wa Israel wanatoka walipo na kufika mpk uwanja wa kiyatungua ila Kombora bado halijafika Israel , na bado unapata nguvu ya kushangilia tu
Wairan wamefanya makusudi kwa hilo.

Wairan wametrumia akli kubwa sana kufanya hivyo. Wameonesha kuwa mazayuni si lolote si chochote, hata makombora ya kuendeshwa kwa injini za bodaboda yanawafikia.

Makombora ambayo walitaka yafike kwenye shabha yao yamefika na yamepiga maeneo ya kijeshi. Hawakuwa na haja ya kuwafikisha kuuwa raia.
 
Hasara iliyopatikana nikubwa sana kuna kambi kadhaa za kijeshi huko Israel zimeharibiwa vibaya hiyo ni siri hawawezi kuweka azaran ni aibu. Palestine hawakuchelewa kujibu, lakin had leo hawajamjibu Iran na mabwana zao wamesema wajizuie wasijibu wanajua balaa litakuwa kubwa tofaut na laawali.
 
Unaweza kutoa ushahidi wa madai yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…