Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
- Thread starter
- #21
Aksante Kwa ushauriWaulize wachungaji wako hapo kanisani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aksante Kwa ushauriWaulize wachungaji wako hapo kanisani
Mkuu nimeuliza wamesema kuwa wanaume wasiokuwa na wenza wao wataoshana miguu na wanaume wenzao!Na sisi wake zetu wasiokuwa wasabato tunaruhusiwa kuwaosha wadada wa hapo kanisani? Najua mchana utarudi kwenye ibada nenda kaulize
Mfano vijana wale hawajaoa Bado na ambao hawajaolewa kwanini na wao wasioshane miguu?
Nategemea majawabu
Mkuu usihukumu usije ukahukumiwa!Kwa hiyo leo kila mtu kageuka Yesu kutawaza miguu ya mwingine kibaka ,nwizi ,malaya ,Chacombe nk amepewa nafasi ya kutawaza kama Kristo hiyo kali
Sabato Salasala shikamoo
Sahihi kabisa MkuuWanafunzi wake wote 12walikuwa wanaume!
Hongera Mkuu endelea kujifunzaNipo hapa kujifunza
Ufufuo mpya kutoka wapi ?Itakuwa ni ufunuo mpya na imekaa vizuri ili kujenga mahusiano mazuri kwenye familia
Ngoja nitafute namba yake!Au ampigie simu pastor kama haendi Tena mchana
Ufunuo sio ufufuoUfufuo mpya kutoka wapi ?
Hii inaleta Tafsiri Gani mkuu?Mkuu nimeuliza wamesema kuwa wanaume wasiokuwa na wenza wao wataoshana miguu na wanaume wenzao!