Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

Na sisi wake zetu wasiokuwa wasabato tunaruhusiwa kuwaosha wadada wa hapo kanisani? Najua mchana utarudi kwenye ibada nenda kaulize

Mfano vijana wale hawajaoa Bado na ambao hawajaolewa kwanini na wao wasioshane miguu?

Nategemea majawabu
Mkuu nimeuliza wamesema kuwa wanaume wasiokuwa na wenza wao wataoshana miguu na wanaume wenzao!
 
Wenyeji wangu wasabato walitaka niambatane nao kanisani usabatoni kule tegeta Beach,nilikuwa siujui huo utaratibu nilipouona tu nikaona mizinguo,nianze kuliosha jitu miguu kweli!,niliwatafuta wenyeji wangu hapo kanisani nikawaomba wanipe funguo nirudi nyumbani tumbo linaniuma
 
Back
Top Bottom