Kijana baro baro aliwah kukosa urais kwa nyerere kwasababu ya kuvaa mapete kwenye vidole vya mkono wa kushoto na kulia eti leo nae kakubali kuzeekaMi mwenyewe nimemuona Jakaya jana, nikasema kumbe uzee ukifika umefika.
Nikiwa na uhusiano na wanawake wengi bila kuoa, NITAZEEKA MAPEMA??oa wake wengi ukimbize uzee
Akisema suuu utasemaje🤣🤣Lakini bado analipa 🤭
Si mpaka aseme sasa 😅Akisema suuu utasemaje🤣🤣
Tufanye Denzel kasema suuuu, nipe jihu chaap kama mwanamke wa kisasa bhana🤣Si mpaka aseme sasa 😅
Hao si ndo wanajua kutunza bila malalamiko 😅😅😅Tufanye Denzel kasema suuuu, nipe jihu chaap kama mwanamke wa kisasa bhana🤣
Inawezekana ulimuona kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka 15 yeye akiwa na miaka 45 sahivi lazima azeeke anamiaka 70MIaka 40+nakuwaje mzee sheikh na nina wake wengi,oa wake wengi ukimbize uzee
Unapenda sana kuzunguuka🤣🤣🤣 sisi tusiojua mwaka wetu wa kutoboa huuHao si ndo wanajua kutunza bila malalamiko 😅😅😅