Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu

Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.

Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.


Denzel_Washington_at_the_2024_Toronto_International_Film_Festival_02_(cropped).jpg
 
How time flies, moja kati ya mahendisam men kwenye tasnia ya filamu duniani...

Mimi namuangalia sana Shwarzenegger na kujisemea wakati ukuta, kawa mzee kabisa yani, moja kati ya watu strong kabisa.
 
Back
Top Bottom