Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Kijana baro baro aliwah kukosa urais kwa nyerere kwasababu ya kuvaa mapete kwenye vidole vya mkono wa kushoto na kulia eti leo nae kakubali kuzeek

Uzee ukifika huna ujanja
Kikubwa ni kujiandaa, vijana watambue uzee haukwepeki, hivyo wajipange kwa maisha ya uzeeni kuanzia sasa, si kwa fedha tu, na afya ni muhimu.
 
Na wewe utakua umezeeeka
 
Inawezekana ulimuona kwa mara ya kwanza ukiwa na miaka 15 yeye akiwa na miaka 45 sahivi lazima azeeke anamiaka 70
Ni kweli,wakati ukuta jamaa nilimkubali tangu nikiwa mdogo,
 
How time flies, moja kati ya mahendisam men kwenye tasnia ya filamu duniani...

Mimi namuangalia sana Shwarzenegger na kujisemea wakati ukuta, kawa mzee kabisa yani, moja kati ya watu strong kabisa.
Mbavu nene kwenye Commando ilitisha,kweli uzeeni baraka,unajiona mwenyewe ukipitia phase mbalimbali za maisha yako
 
Tuko wengi, actors na actresses pamoja na musicians and sports personalities ni wengi wamekua mpaka kuzeeka before our own eyes 👁️ 👁️.
 
Picha ya mshangazi Paulleta tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…