Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Pastor Denzel Washington kwasasa, Black Handsome wa muda wote...wakati umeyoyoma ameamua amtumikie Mungu kwa muda wake uliobaki

Movies zake nzuri sana..na Eddy Muphy
 
Huyu baba asili yake kabisa ni wapi? Sisemi raia wa nchi ipi.
Kamachumu bukoba,ana ndugu yake muhaya kafariki mwaka juzi anaitwa michael njumba,google utamuona
 
Pastor Denzel Washington kwasasa, Black Handsome wa muda wote...wakati umeyoyoma ameamua amtumikie Mungu kwa muda wake uliobaki

Movies zake nzuri sana..na Eddy Muphy
JohnQ ilinisisimua,ilinifundisha namna mwanamume anavyopaswa kuwa jasiri when it comes to protect his family, ilinitoa machozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…