Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Ugumu wa maisha na bongo movie hailipi
 
Mkuu kama kweli umechukizwa ( na naamini kweli umechukizwa mpaka umekuja kuandika hapa ) je ulihitaji witness protection kutoa taarifa / kutaja eneo husika?
 
50000/5000=10. Kwa hiyo, 1 kg inaua ubongo wa wavulana na wasichana wetu Karibu elfu 10,000. Na thamani ya ubongo wa vijana wetu hawa wote ni sawa na 50,000 x 1,000= 50,000,000/=.

Ukisikia Shetani kazidiwa keti na mfuasi wake ndiyo hii.
Cocaine sio heroin..
Cocaine from Peru,Colombia, Argentina,Brazil,hii haiumizi akili wala ubongo wa mtu.
Hii inaitwa WHITE SUGAR..

inatumika kama kitu cha kukupa stim kukuchangamsha..haina AROSTO (hata ukikosa kuvuta huumwi popote)

Heroine from Afghanistan, Pakistan,
Hii ndy sumu ukiingia Ni lazima uwe chizi..
Ndy hii vijana wengi wanatumia Africa na Ulaya kwa sasa.
Hii inaitwa BROWN SUGAR.
NI hatari kwa afya

Cocaine watu wengi wanatumia lakini kujuwa ni ngumu Sana labda awe anatumia dose kubwa sn..(NO AROSTO)

Heroine athari yake ni kubwa sababu inakuletea INA AROSTO(usipopata unaumwa)
 
Unga haulambwi mkuu..
.kila unga na SMELL tofauti ndy maana hata mbwa anayekamata madawa anafundishwa jinsi ya kutambua HARUFU.
.
Ndy maana unaweza usigunduwe unga ulipofichwa ,,
lakini mbwa akanusa na kutambuwa..

Na huyo huyo mbwa watu wanamdanganya harufu na wanapita hapo hapo na mbwa yupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna Cocain bongo ya 50000 huyo Mwongo kabisa.
Hizo wanaagiza maponjoro hao zinaletwa toka pakistan
Heroin ipo mitaani hata 5000 utapimiwa.
Kijana kama hujuwi kaa kimya?

Cocaine haitoki Pakistan.

Cocaine inatoka PERU,COLOMBIA,CHILE,BRAZIL, ARGENTINA.

Heroine ndy inatoka Afghanistan na Pakistan..

Kama Jambo hujuwi kaa kimya.

heroine gram ni 18000 tu..

Ndy maana sometimes tunakuwa kimya kukwepa watu kama nyie.
 
So heroine ndio wanatumia hawa mateja wengi tunaowaona mtaani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…