Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

Mara nyingi wafanyakazi serikalini wanaofanyakazi kwa bidii, ni wale walioko kwenye vitengo ambavyo vina motisha au vinavipato vya pembeni(rushwa). Lakini sehemu kubwa ni kusukuma muda ili mradi siku zinakwenda.
 
kwanza jina lako tu ni "komasava" alafu unaandika na emoji za kujichekesha chekesha mimi nimekuona wewe hujui unachokiongea nilikuwa sikujibu mimi huwa sipendegi dharau.

sasa skia kijana hebu tembelea ofisi zozote za watumishi wa umma mwenyewe ukajithibitishie asante sana.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Tulia kijana acha mihemko.Hio ndo system ilivyo katika hii thadi wadi country na kelele zako ni sawa na kelele za mvua kwenye bati mvua ikikata kelele zinaisha.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Tulia kijana acha mihemko.Hio ndo system ilivyo katika hii thadi wadi country na kelele zako ni sawa na kelele za mvua kwenye bati mvua ikikata kelele zinaisha.
asante sana
 
Kwa nini wengine wanalipwa 10M wengine 300K serikali moja, nchi moja ?

Kama wao ndio mahodari zaidi au walisoma vizuri ZAIDI wafanye wenyewe sisi acha tufuge nguruwe Huku tukiwa na posho ya 400 K Kwa mwezi..

hakuna ubaya....
duh, kwahiyo unataka ulipwe 50 kwa 50 na mbunge nazani kuna kitu hakipo sawa
 
unataka mshahara sawa na mbunge hivi unajua mbunge ni nani na wewe ni nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…