Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

Mara nyingi wafanyakazi serikalini wanaofanyakazi kwa bidii, ni wale walioko kwenye vitengo ambavyo vina motisha au vinavipato vya pembeni(rushwa). Lakini sehemu kubwa ni kusukuma muda ili mradi siku zinakwenda.
 
Thread za watanzania ni vituko😀😀😀

Yaani mtu anaandika anadhani alafu anakomalia point zake kama vile anauwakika na kitu anachokizungumza,watanzania tujifunze kuacha porojo.

Hao wabunge wanamoral authority ipi ya kunyooshea wengine vidole wakati wao ni mzigo namba moja katika hii nchi.Nyie majitu myeusi mnashida gani lakini,mbona mnamacho lakini hamuoni???!!!?

Mnalalamika kwa vitu vya kudhani.Ni mtu gani anaakili timamu anatoa hoja na tuhuma nzito kwa vitu vya kufikirika.

Hii nchi kila mtu amechanganyikiwa,hii inapelekea watu kutafuta mchaka ya kutolea machungu yao ya maisha.Kwahiyo nyie mnaona hii failed system ipo kwa watumishi hamuona kama nchi yote ipo ICU😄😄😄
kwanza jina lako tu ni "komasava" alafu unaandika na emoji za kujichekesha chekesha mimi nimekuona wewe hujui unachokiongea nilikuwa sikujibu mimi huwa sipendegi dharau.

sasa skia kijana hebu tembelea ofisi zozote za watumishi wa umma mwenyewe ukajithibitishie asante sana.
 
kwanza jina lako tu ni "komasava" alafu unaandika emoji unacheka cheka mimi nimekuona wewe hujui unachokieongea nilikuwa sikujibu mimi huwa sipendegi dharau.

sasa skia kijana hebu tembelea ofisi zozote za watumishi wa umma mwenyewe ukajithibitishie asante sana.
😄😄😄😄Tulia kijana acha mihemko.Hio ndo system ilivyo katika hii thadi wadi country na kelele zako ni sawa na kelele za mvua kwenye bati mvua ikikata kelele zinaisha.
 
Kwa nini wengine wanalipwa 10M wengine 300K serikali moja, nchi moja ?

Kama wao ndio mahodari zaidi au walisoma vizuri ZAIDI wafanye wenyewe sisi acha tufuge nguruwe Huku tukiwa na posho ya 400 K Kwa mwezi..

hakuna ubaya....
duh, kwahiyo unataka ulipwe 50 kwa 50 na mbunge nazani kuna kitu hakipo sawa
 
we unasema tu.

Mtu akiwa nje (hajahajiriwa ) matarajio yake hubadilika kutokana na anachokutana nacho.

Kwa mfano: unakaa miaka 7 bila kupanda daraja au miaka 6 bila ongezeko la mshahara huo moyo hata kama mwanzo ulikuwa mzuri baadae unakufa.

Tena ukisikia mbunge anakunja 18M Kwa mwezi na 20M posho Kwa mwezi, halafu wewe 600K bila thumuni ya posho huo moyo hata uwe wa chuma unakufa.
unataka mshahara sawa na mbunge hivi unajua mbunge ni nani na wewe ni nani ?
 
Back
Top Bottom