Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

Mkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa .mahitaji na uzalishaji wao ni mkubwa kwa hiyo pupolutaion...halafu mambo ya wazungu kutuletea GDP kama kipimo cha uchumi imepitwa na wakati maana haileflect maisha halisi ..
 
Hauko sahihi. High population sio kigezo cha GDP, bali ni uimara wa uchumi wa nchi.
Kwanini Qatar inaizi GDP Tanzania? Je, nao wana population kubwa kuliko Tanzania?
 
We jifariji tu.

Kwahiyo tofauti ya GDP ya Nigeria na Tanzania haileflect tofauti ya maisha ya raia wa nchi hizo? Unayajua maisha wanayoishi Nigerians?
 
Kwenye uchumi huwa wanalingaisha nchi zinazoendana...huwezi lingaisha Tanzania na marekani au nakuwait....popoluation it's matter kwenye GDP ndio maana mwisho wa siku Kuna kitu kinaitwa GDP PER CAPITA yaani wanagawa hiyo GDP Kwa popoluation. ..
 
We jifariji tu.

Kwahiyo tofauti ya GDP ya Nigeria na Tanzania haileflect tofauti ya maisha ya raia wa nchi hizo? Unayajua maisha wanayoishi Nigerians?
Moja ya changamoto ya GDP haileflect uhalisia wa maisha ..ndio maana huku kwetu tuna lugha maarufu UCHUMI WA KWENYE MAKARATASI yaani BOT inatwambia UCHUMI umekua lakini maisha ya wananchi bado Duni..maana sekta nyingi zinazolisha Pato kwa wingi hazitokani na wananchi walio wengi Mfano madini etc...so unapojumlisha mapato yote then ukagawa Kwa popoluation haileflect uhalisia..ndio nachomaanisha.
 
Back
Top Bottom