ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Ni hatari sana.
Wapo milioni 220 Nigeria, kumbuka kuwa wingi wa watu ni mtaji tosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo milioni 220 Nigeria, kumbuka kuwa wingi wa watu ni mtaji tosha.
Population sio issue sana nyakati hizi za technology na uwezo mkubwa wa kifanisi maeneo ya uzalishaji.Mkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa .mahitaji na uzalishaji wao ni mkubwa kwa hiyo pupolutaion...halafu mambo ya wazungu kutuletea GDP kama kipimo cha uchumi imepitwa na wakati maana haileflect maisha halisi ..
Wewe na mtoa mada mna matatizo makubwa sana.
Uache kushangaa Kenya,Angola na Ethiopia kutuzidi uje kushangaa Nchi yenye Uchumi mkubwa Afrika kutuzidi?
On top of that Nigeria ndio inaongoza Afrika Kwa mafuta Sasa hapo kipi Cha kushangaza maana wanatuzidi Kwa Kila kitu kuanzia Utajiri wa rasilimali Hadi idadi ya watu na Ukubwa wa Nchi.
Acha upuuzi wako,hivyo vimapambo utalinganisha na mafuta? Umewahi sikia uchumi wa Dunia ukayumba Kwa sababu ya kukosa Tanzanite?mbona nasisi tunaongoza kwa Tanzanite Africa, tuna mbuga za wanyama ambazo Nigeria hawana, tunamiliki gas ya kutosha nchi kavu na baharini, tunamiliki dhahabu na Almasi ambavyo Nigeria hawana, tunamiliki graphite yakutosha na makaa ya mawe.. nk hivyo havitutoshi kuwa na uchumi mkubwa??

Acha upuuzi wako,hivyo vimapambo utalinganisha na mafuta? Umewahi sikia uchumi wa Dunia ukayumba Kwa sababu ya kukosa Tanzanite?
Wingi wa watu unakuwa mtaji endapo tu nchi husika imewekeza katika watu wa nchi hiyo, katika nyanja za elimu, afya na siasa safi. Hapo utapata watu wenye uwezo wa kutafiti, kuvumbua na hatimaye kuzalisha. Kama haukuwekeza kwa watu katika nyanja hizo, population kubwa haitakuwa na positive impact kwa uchumi wa nchi husika.Wapo milioni 220 Nigeria, kumbuka kuwa wingi wa watu ni mtaji tosha.
Ndio maana nilisema nchi imelaaniwa.Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Hao watu wana uwezo wa ku- purchase?Unabisha nini Sasa Mzee? Kulisha population kubwa kama hiyo unadhani wanahitaji uzalishaji kiasi gani? Automatically tuu GDP itakuwa kubwa.
Pili idadi hiyo ya watu inakuhakikiahia soko ambalo ndio kitu Cha muhimu kabisa
Baba ana nafasi kubwa sana na tena mno kutengeneza future ya mtoto wake.Wewe uko tayari kumlaumu baba yako mzazi kwa failures zako mwenyewe, kwamba Mzee hakukuandaa vyema kwa changamoto za maisha.
Yafaa sisi kama taifa kuangalia hali ya sasa na kuweka bidii badala ya kumlaumu sijui Nyerere alifanya nini nini. Mbona China walipoona Mao Tse-Tung economic policies zake hazikufanya vyema, waliochukua kijiti kwake (Deng Xiaoping na wenzake) warekebisha dosari na kusonga mbele? Nyinyi mnafeli wapi? Kila siku kuzunguka mbuyu tu.
Hoja ni Ukubwa wa GDP na sio impacts ya GDP kwenye uchumi.Hao watu wana uwezo wa ku- purchase?
Halafu kumbuka mkuu, GDP inaweza hisiwe na positive impact kwa maisha ya watu kwani hilo pato hawagaiwi watu kama posho. Manake unataka kuchanganya GDP na maisha ya watu..... hapana.
Impact yake itaonekana katika social welfare services lakini kama nchi Ina ufisadi' nk. GDP Haina maana yoyote mkuu.
Sawa kabisa mkuu hiyo hoja. Hapo hakuna Cha population wala nini. Wao wanazalosha zaidi na kuuza zaidi. [emoji106]Hoja ni Ukubwa wa GDP na sio impacts ya GDP kwenye uchumi.
Uchumi wa Nigeria ni mkubwa mara 6 ya Tanzania.
Hii imenikumbusha baadhi ya colleagues wangu ambao ni Wahindi kutoka India kabisa na wengine ni wenye asili ya Kihindi lakini waliozaliwa nchi za magharibi.Kanuni muhimu ya kulinganisha ni kulinganisha vinavyolinganishika.
Yani, linganisha machungwa na machungwa, matufaa na matufaa.
Usilinganishe machungwa na matufaa.
GDP ni hesabu inayoweza kukupotosha.
Kwa sababu, haiangalii mgawanyo wa watu.
Ni hivi, ukiwa na nyumba A yenye watu 10, na kipato cha shilingi milioni 10, halafu ukawa na nyumba B ya mtu mmoja, mwenye kipato cha shilingi milioni tano, utasema hiyo nyumba A yenye watu kumi na kipato cha shilingi milioni 10 imeizidi uchumi nyumba yenye mtu mmoja na kipato cha shilingi milioni tano?
Huoni kwamba ukifanya hesabu hapo ukagawanya utapata nyumba A kwa wastani kila mtu ana kipato cha shilingi milioni moja, wakati nyumba B mtu mmoja ana kipato cha wastani cha shilingi milioni tano?
Ni bora uongelee GDP per capita, ambayo inachukua GDP na kuigawanya kwa idadi ya watu, ukapata kila mtu ana GDP per capita gani.
Nigeria ina watu zaidi ya milioni 215, Tanzania haijafikisha hata watu milioni 65. Maana yake unaweza kuzijumlisha Tanzania tatu kwa idadi ya watu, na bado usiifikie idadi ya watu wa Nigeria.
Unaweza kujumlisha idadi za watu wa Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia na Sudani ya Kusini, na bado usiifikie idadi ya watu ya Nigeria.
Sasa hapo unaona kuzilinganisha nchi mbili hizi kwa GDP tu ni sawa?
Endeleeni kutafuta machama ya kujifichia, GDP ndio SI UNIT ya uchumi, wenzetu wana export sana sisi tumebakia kusema ohoo wana population kubwa haya kenya wametuzid GDP sisi tuna population kubwa, eneo kubwa, rasilimali nyingi lakini tunachechemea, kuna mataifa kama south africa population sio kubwa kulinganisha na eneo lakini uchumi wao mkubwa interms of GDP.Hii imenikumbusha baadhi ya colleagues wangu ambao ni Wahindi kutoka India kabisa na wengine ni wenye asili ya Kihindi lakini waliozaliwa nchi za magharibi.
Miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakitamba sana kuwa India sasa ipo tano bora ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani [trillion dollar economies].
Wanajivunia sana kuwa sasa wana uchumi mkubwa kuliko hata Uingereza, taifa lililowatawala.
Lakini kama ulivyosema, hesabu ya GDP ukiiangalia kwa juu juu, inaweza kukupotosha sana.
Ndiyo, India ina GDP kubwa kushinda nchi nyingi tu za Ulaya magharibi.
India ina GDP kubwa kuzishinda Canada, Australia, na New Zealand.
Lakini licha ya kwamba India ina GDP kubwa kuzishinda hizo nchi, ikija kwenye GDP per capita, hiyo nchi haipishani sana na nchi za Kiafrika.
Viwango na ubora wa maisha kwenye nchi za Scandinavia ni vya juu sana kushinda India. Wastani wa kipato cha mtu mmoja mmoja nao ni mkubwa mno kiasi kwamba huwezi kabisa hata kujaribu kulinganisha.
Ukubwa wa GDP si wa kuuangalia tu na kuishia juu juu na kutoa hitimisho.
GDP ya nchi inaweza ikawa kubwa lakini watu wake wengi sana wakawa bado ni mafukara.
Nigeria, Egypt, na Afrika Kusini, licha ya kuwa ndo nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika, lakini ikija kwenye GDP per capita, zimeachwa mbali na vinchi vidogo kama Seychelles, Equatorial Guinea, Gabon, na Mauritius!
Nchi gani Afrika inayoongoza kwa GDP per capita?Endeleeni kutafuta machama ya kujifichia, GDP ndio SI UNIT ya uchumi, wenzetu wana export sana sisi tumebakia kusema ohoo wana population kubwa haya kenya wametuzid GDP sisi tuna population kubwa, eneo kubwa, rasilimali nyingi lakini tunachechemea, kuna mataifa kama south africa population sio kubwa kulinganisha na eneo lakini uchumi wao mkubwa interms of GDP.
Ili uwe na per Capita kubwa ambayo in turn ita define welfare lazima ukuze GDP ni lazima sio ombi.Hii imenikumbusha baadhi ya colleagues wangu ambao ni Wahindi kutoka India kabisa na wengine ni wenye asili ya Kihindi lakini waliozaliwa nchi za magharibi.
Miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakitamba sana kuwa India sasa ipo tano bora ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani [trillion dollar economies].
Wanajivunia sana kuwa sasa wana uchumi mkubwa kuliko hata Uingereza, taifa lililowatawala.
Lakini kama ulivyosema, hesabu ya GDP ukiiangalia kwa juu juu, inaweza kukupotosha sana.
Ndiyo, India ina GDP kubwa kushinda nchi nyingi tu za Ulaya magharibi.
India ina GDP kubwa kuzishinda Canada, Australia, na New Zealand.
Lakini licha ya kwamba India ina GDP kubwa kuzishinda hizo nchi, ikija kwenye GDP per capita, hiyo nchi haipishani sana na nchi za Kiafrika.
Viwango na ubora wa maisha kwenye nchi za Scandinavia ni vya juu sana kushinda India. Wastani wa kipato cha mtu mmoja mmoja nao ni mkubwa mno kiasi kwamba huwezi kabisa hata kujaribu kulinganisha.
Ukubwa wa GDP si wa kuuangalia tu na kuishia juu juu na kutoa hitimisho.
GDP ya nchi inaweza ikawa kubwa lakini watu wake wengi sana wakawa bado ni mafukara.
Nigeria, Egypt, na Afrika Kusini, licha ya kuwa ndo nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika, lakini ikija kwenye GDP per capita, zimeachwa mbali na vinchi vidogo kama Seychelles, Equatorial Guinea, Gabon, na Mauritius!
1. Population sio hoja...Kuna nchi Zina small population Kama Canada na ni among the largest economies..Mkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa .mahitaji na uzalishaji wao ni mkubwa kwa hiyo pupolutaion...halafu mambo ya wazungu kutuletea GDP kama kipimo cha uchumi imepitwa na wakati maana haileflect maisha halisi ..
Nchi gani zinazongoza Afrika kwa GDP per capita?Ili uwe na per Capita kubwa ambayo in turn ita define welfare lazima ukuze GDP ni lazima sio ombi.
So Nigeria imetuzidi GDP na per Capita