Bechede
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 872
- 2,422
Usikilizwe, unahoja kuntu sana.Kwa Sasa Tanzania hatuna independent thinkers. Kila mtu anasubiria huruma ya Rais. Na pia kila mmoja anafanya Jambo kumfurahisha Rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikilizwe, unahoja kuntu sana.Kwa Sasa Tanzania hatuna independent thinkers. Kila mtu anasubiria huruma ya Rais. Na pia kila mmoja anafanya Jambo kumfurahisha Rais.
Huna hojaKwa hiyo?
Huwezi kuiita Ethiopia Taifa la hovyo wakati wanamiliki shirika la ndege bora dunia nzima likiongoza.Canada wako milioni 40, Korea Kusini million 50, Finland milioni 5 na yote haya ni mataifa bora sana
Pakistan wako milioni 230, Bangladesh millioni 170, Ethiopia milioni 120, DRC milioni 100 na yote haya ni mataifa ya hovyo tu.
Hii point kubwa.Si kuna mtu amesema ukiwa na population kubwa unakuwa na GDP kubwa? Vipi kuhusu Singapore, vipi kuhusu Luxembourg, vipi kuhusu South AFRICA, au Algeria, haya kuhusu Egypt au hawa nao waliwaibia. Talk about substance, siyo mnaongea pumba.
Hata Haiti, Jamaica, Honduras, Bolivia , El Salvador na Nicaragua ni nchi za wahamiaji.
Ukikaa chini ukafikiria haya yote chanzo ni nyerere, hasa hapa kwenye lugha tu ndo alipo jaribu jumlaKinachokusikitisha ni nini? 60% ya Uchumi wao unategemea Mafuta na hao ndio Wanaongoza Kwa mafuta Afrika unategemea nini?
Unadhani wangekuwa wanategemea mahindi na migomba na Madini ya kubahatisha bahatisha Kwa idadi Ile ya watu wangekuaje?
Mwisho mlaumuni Baba yenu wa Taifa Kwa ujamaa wake wa miaka 25 ambao hakuna Cha maana ulisaidia as far as economy is concerned.
Tatizo ni uongozi tu, hakuna kingine.Huwezi kuiita Ethiopia Taifa la hovyo wakati wanamiliki shirika la ndege bora dunia nzima likiongoza.
DRC huwezi kuiita Taifa la hovyo wakati wana madini aina nyingi tu tena yale bora kabisa yanayotumika kwa ajili ya viwanda nyeti.
Wingi wa watu ni mtaji ambao hata maneno matakatifu yanaunga mkono. Kinachopatikana huko Canada, Korea Kusini na Finland na kukosekana Bangladesh na DRC ni uongozi bora, kile ambacho Mwalimu Nyerere alikiita siasa safi.
Vinginevyo ni mataifa yenye kila sababu ya kuwa na uchumi unaopaa.
Mkuu, si sawa kufikiri hivyo.This is old news. Huwa mnaangalia nini online kama ulikua hujui Hilo siku zote?
Unaposikia nchi zenye uchumi mkubwa Africa unadhani ni nchi gani na kwa kiwango gani?
Mimi nakushangaa wewe ulikua hujui Hili all this time. Punguza kuangalia X mitandaoni.
UONGO. Bila hata ya soni. usoni.Korea Kusini ni vibaraka wa USA, makampuni makubwa yote huko yanamilikiwa kwa asilimia kubwa na USA.
Lete ushahidi wa makampuni ya Korea kumilikiwa na Marekani.Canada unauliza tena? Huelewi kuwa Canada mpaka leo hii ni nchi ya wahamiaji? Kama ilivyo USA na Australia. Hata Singapore ni nchi ya wahamiaji.
Korea Kusini ni vibaraka wa USA, makampuni makubwa yote huko yanamilikiwa kwa asilimia kubwa na USA.
Huwa sik isii.Lete ushahidi wa makampuni ya Korea kumilikiwa na Marekani.
Kafanye homework yako vizuri uone ka hayo makampuni hayapo listed kwenye "stock markets" za nchi za Magharibi.UONGO. Bila hata ya soni. usoni.
LG; Samsung; Hyundai Motors, SK Hymix na mengi mengine ni makampuni ya Korea kwenyewe.
Watu, hasa wa aina yako mnapenda sana kupotosha kila jambo ili kuhalalisha ujinga mnaofanya hapa.
Kila nchi ilitakiwa watu wake wakae Nyani ya nchi Yao ya asili waendeshe maisha yao. Wakienda ugenini waende kama wataalamu na SIO wakimbizi . Wamarekani hua hawataki nje ya Marekani kutafuta KAZI zaidia ya kuwekeza au Utalii au Kwa ajili ya utaalam Fulani na SIO kwenda kubeba mabox.Rwanda hawana lolote ndugu yangu.Ulishawahi sikia Waethiopia wanaenda Rwanda kutafuta maisha?
Population siyo kigezo.Mkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa ..
Sasa huyo ndio mmiliki? Kila nchi makampuni mengi yanakuwa na wanahisa kutoka mataifa mbalimbali.Huwa sik isii.
Wengi sana, wala siyo wakutafuta. Nakupa mmoja ukafanye homework:
Top insider stockholders Of Hyundai
Hyundai has a few holders among the former and current executives. By far, the biggest individual Hyundai stockholders are Euisun Chung (Chairman) and José Muñoz (GCOO)
Kafanye homework ya kumjuwa Jose Munoz ni nani?
Umefilisika akili kabisa.Huwa sik isii.
Wengi sana, wala siyo wakutafuta. Nakupa mmoja ukafanye homework:
Top insider stockholders Of Hyundai
Hyundai has a few holders among the former and current executives. By far, the biggest individual Hyundai stockholders are Euisun Chung (Chairman) and José Muñoz (GCOO)
Kafanye homework ya kumjuwa Jose Munoz ni nani?
Nyerere aliondoka mwaka 1985 miaka karibu arobaini na nchi imekuwa na marais wanne baada yake, tutafute visingizio vingine vyenye mantiki.Ukikaa chini ukafikiria haya yote chanzo ni nyerere, hasa hapa kwenye lugha tu ndo alipo jaribu jumla