Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

Mbumbu wengi?

Linamaanisha nini mkuu!

Hivi, imekuwaje uchumi wetu ushuke ghafula licha kwamba tulifikia kwenye uchumi wa kati mdogo na sasa hakuna?

Ukraine ukiizungumzia basi uongelee na UVIKO kipindi cha nyuma
 
Kama yalifanyika mambo mabovu ni vyema kuyarekebisha.
 
Magufuli Kuna mambo amedhubitu kufanya mf kuanzisha hii miradi mikubwa , ilikua sahihi kabisa, lakini alishindwa kujua uchumi ndio unatoa fedha za kukamilisha hiyo miradi, uendeshaji mbaya WA uchumi ungepelekea miradi kukwama, ni bahato sana mh Samia alikuja kwa mda sahihi
 
Mradi w reli,ndege na mingine ya aina hiyo kama mastandi,maviwnja ambayo yanchakaa tuu vina Tija gani kwa Nchi?

Takwimu zinaonesha Kasi y kukua Kwa uchumi ilipungua sana kwa Miaka 5 iliyopita kulinganisha na Mkapa na JK.
 
Tungefikia hatua ya kununua wembe kwa shilingi milioni kama ilivyokuwa Zimbabwe
Kweli kabisa mkuu,..we fikilia mifuko ya hifadhi za jamii ilishaanza kufilisika walikuwa wanashindwa hata kulipa pension za waarimu,..mzee wangu alisota miaka mi3 baada ya kustaafu.,..kapata pension chini ya Mama Samia.
 
Upande wa kesi za Lema ni saw maana ni mmoja wa wanasiasa waliobambikiwa kesi!!
 
Maushungi wamekutana na Nepi Nnauye ni kama PIPA NA MFUNIKO.

Wote wameishia LA SABA.
Mtaongea kila jambo kujifariji Kwa maumivu,uchungu na hasira ila ukweli unabikia kwamba Samia amemfunika vibaya sana legacy..

Nakupa mfano mdogo wakati Mwendazake akijivunia Magomeni Kota ambayo nayo Samia kaikamilisha ,pembeni yake Kuna Magomeni Kota awamu ya 2 inaendelea blocks 5.

Kuna Temeke Kota inaendelea blocks 7 za gorofa 9 Kila Moja.

Sasa hivyo ni Cha mtoto,kubwa lao ni Samia Housing Scheme,ikumbukwe Mwendazake aliua kabisa sekta ya Real estate Samia kafufua kama ifuatavyo πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…