Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

Escrow ilianzishwa kwa madhumuni gani ?
Inavo tajwa ni kuwa Tanesco kwa mujibu wa mkataba na IPTL wanapaswa kulipa capacity charges za 7 billion kila mwezi.
Sasa kukawa na mgogoro hivyo wahusika wakaenda mahakamani.
Ila kwa sababu pesa inayo daiwa kila mwezi ni nyingi ikaamuliwa Tanesco walipe hizo pesa kuziweka account maalum. Ndio hilo dude Escrow account.
Hivyo hela ilowekwa mule ni capacity charges tu. Hakuna pesa ingine yoyote ile....
Kesi ikaisha ikaamriwa IPtl walipwe...wakalipwa. Lakini ikawa Iptl imeuzwa hivyo wakalipwa PAP...
Hivyo hapa hakuna hela ya umma .
Ni wenyewe tunajipiga kwenye mikataba.
Wa kukamata sio huyu singa wala tuge bali waloingia hii mikataba mibovu.
Tatizo letu tanzania huwa tunapenda sana kuwona wafanya biashara kuwa ndio matatizo kumbe chanzo ni wenyewe .
Sioni nafasi ya kushinda hii kesi ....unless kila aliehusika hata kwa kiduchu aingizwe mbivu mbichi ijulikane.
 
Tunaheshim mawazo yako ila kwa sake ya mjadala je kivp ruge na seth wagawe pesa namna ile kwa watu wazito serikalini??? Kwanni ampe mgao katibu wa rais??? Kma hela ni zako za kihalali unawezaje kugawana nao mabilion wakati uliyafanyia kazi mwenyewe!!!!
kama jamaa kafikishwa mahakamani na sasa yupo mahabusu nani kabaki sasa?
 
Escrow ilianzishwa kwa madhumuni gani ?
Inavo tajwa ni kuwa Tanesco kwa mujibu wa mkataba na IPTL wanapaswa kulipa capacity charges za 7 billion kila mwezi.
Sasa kukawa na mgogoro hivyo wahusika wakaenda mahakamani.
Ila kwa sababu pesa inayo daiwa kila mwezi ni nyingi ikaamuliwa Tanesco walipe hizo pesa kuziweka account maalum. Ndio hilo dude Escrow account.
Hivyo hela ilowekwa mule ni capacity charges tu. Hakuna pesa ingine yoyote ile....
Kesi ikaisha ikaamriwa IPtl walipwe...wakalipwa. Lakini ikawa Iptl imeuzwa hivyo wakalipwa PAP...
Hivyo hapa hakuna hela ya umma .
Ni wenyewe tunajipiga kwenye mikataba.
Wa kukamata sio huyu singa wala tuge bali waloingia hii mikataba mibovu.
Tatizo letu tanzania huwa tunapenda sana kuwona wafanya biashara kuwa ndio matatizo kumbe chanzo ni wenyewe .
Sioni nafasi ya kushinda hii kesi ....unless kila aliehusika hata kwa kiduchu aingizwe mbivu mbichi ijulikane.
Mkuu kwa faida ya wengi humu je ni hukumu gani iliyoamuru pesa hizo zote kwenye escrow account zilipwe kwa IPTL???
 
kama jamaa kafikishwa mahakamani na sasa yupo mahabusu nani kabaki sasa?
Simba trust

Waliokwapua pesa stanbic kinyume na sheria

Waliosaini mkataba ule mbovu ambao tunalipa whether umeme umezalishwa ama lah

Wanufaika wote wa zile pesa waliokwepa kodi

Na wengineyo wengi kma collective responsibility itachukua nafasi yake
 
Kesi walofungua tanesco walishindwa
Ukimaanisha zile bilion 200+ zooote kabisa ni mali ya mtu binafsi??? Kma ni hivo basi unisaidie mkuu kivp Muhongo alikuwa dalali wakati pesa ni za watu binafsi?? Kivp pesa za watu binafsi zikae BOT?? kivp pesa za watu binafsi zigawiwe kma njugu?? Kivp CAG akague pesa za watu binafsi?? Je hukumu ya jaji utamwa ilitamka pesa zote kwenye account ni mali ya mtu binafsi??

Nsaidie na hayo maswali na mmi nipate mwanga
 
Jee escrow inatokana na mini ?
Hii ndo bone of contention
 
Engineer Mramba FORMER MD wa Tanesco alikosa nini... katika muktadha wa hoja yako?
Mkuu Mchambuzi, kosa la MD wa Tanesco nimelitaja katika huo uzi husika
Walioiba mkia wa Simba kusakwa

Alifanywa ni kitoweo kwa kugeuzwa ni mbuzi wa kafara!. Awamu nyingine makabila mengine yanakuwa kama nuksi, ni damu ya kunguni ukitembea kwenye mataruma ya reli! Ukikosea tuu step you go!.

Paskali
 
Jee escrow inatokana na mini ?
Hii ndo bone of contention
Ok kwa uelewa wangu mdogo huwa inafunguliwa kukiwepo na dispute ili pesa ziwekwe huko kabpa mgogoro haujaisha ila ilidaiwa kwamba Tanesco walikuwa overcharged na hao IPTL/PAP kwa ajili ya capacity charge ssa baadae ikaamriwa ilipwe kwa capacity charge ndogo walioomba Tanesco ssa kwa mfano kma kwenye Escrow account tanesco waliweka shilingi 700 per unit (mfano tu) afu wakatakiwa kulipa capacity charge iliyopungua tuseme shilingi 300 kwa unit sasa ile mia 400 inayobaki ni mali ya nani??? Mie sisemi pesa zote ni za umma ila all this time nilifkiri ile capacity charge iliyopunguzwa difference yake ndio itakuwa mali ya tanesco sasa kivp mnasema si mali ya umma?? Kwani hukumu ya jaji utamwa ilitamka hivo emu nitpe tongo tongo mkuu
 
Mkuu Kinkongu, humu jf tunabishana kwa hoja, mtu akipotosha, unauleta ukweli ambao ni tofauti na upotoshaji.
Kipi nilichopotosha, kama ni kuhusu fedha za escrow, msimamomo ni ule ule, fedha hizo sio fedha za umma!.

P.
Ninachoendelea kujifunza ni kwamba bado wengi wetu hatutaki kuuamini ukweli kwamba mtu hawi na hatia mpaka mahakama imtie hatiani!
 
Na kwa msimamo huo huo huwezi kusema mtu hana hatia mpaka mahakama pia itoe uamzi kama hana lakini mkuu Paskali kishatoa uamuzi kuwa jamaa hwana kosa hivyo anapingana pia na hicho kipengele.
 
Na wewe unanifanya nizidi kujifunza ni kwanini watu wanavyojadili hoja bila kuzingatia muktadha wa hoja yenyewe!
 
Tatizo letu kubwa hapa watu tunajadili hoja kwa mapenzi yetu kwa watu ama vyama bila kuweka ukweli mbele na pili tunajadili zaidi kwa kutumia emotions zetu mara nyingi ukijadili kwa jazba kwasababu unampenda ama unamchukia mtu unajikuta unatoka nje ya mada na kuanza kujadili pumba ndiyo kosa kubwa linalowaponza watu wengi... Ondoa emotions katika kujadili maswala ya msingi weka vyama pembeni maana hata kama unashinda kwa nguvu haitakisaidia chama ama mtu wako huko aliko..Na hili tatizo lipo mpaka kwa wabunge wetu huko Dodoma. Lissu mara nyingi anaongea point lakini anapoongea mara nyingi anaweka jazba zake mbele mpaka ulanzi anauweka maji. Suala la madini tangu mwanzo Lissu kaongea vitu vya maana lakini kuongea vitu vya maana tu haitoshi bila kushauri nini kifanyike badala yake anapinga mpaka kitu alichokitetea miaka yote huko nyuma bila kushauri. Wabunge wa CCM pia wao kila kukicha hawataki hata kusikiliza nini kina Lissu wanasema wao wanaunga mkono tu vitu ambavyo huko nyuma walivikataa sababu tu sasa wananchi wanafuatilia na wanataka kushinda goli ya siasa..me say
 
Ok kwa uelewa wangu mdogo huwa inafunguliwa kukiwepo na dispute ili pesa ziwekwe huko kabpa mgogoro haujaisha ila ilidaiwa kwamba Tanesco walikuwa overcharged na hao IPTL/PAP kwa ajili ya capacity charge ssa baadae ikaamriwa ilipwe kwa capacity charge ndogo walioomba Tanesco ssa kwa mfano kma kwenye Escrow account tanesco waliweka shilingi 700 per unit (mfano tu) afu wakatakiwa kulipa capacity charge iliyopungua tuseme shilingi 300 kwa unit sasa ile mia 400 inayobaki ni mali ya nani??? Mie sisemi pesa zote ni za umma ila all this time nilifkiri ile capacity charge iliyopunguzwa difference yake ndio itakuwa mali ya tanesco sasa kivp mnasema si mali ya umma?? Kwani hukumu ya jaji utamwa ilitamka hivo emu nitpe tongo tongo mkuu
Mkuu Zitto JNR, you are very right, kwenye ile fedha ya escrow, sehemu ilipaswa kuwa ya Tanesco, sehemu ilipaswa kuwa ya serikali in terms of VAT. Pesa ambayo Tanesco ilipaswa ku deposit kwenye Escrow account ni bilioni 320, lakini mpaka mpaka escrow inalipwa ilikuwa ni bilioni 220. Hivyo hata baada ya PAP kulipwa mipesa yote ya escrow, bado ilikuwa inadaiwa fedha ambazo Tanesco wangezi retain, na kulifidia ile VAT ya PAP ambayo haikulipwa!.

NB. Kuna vitu vitatu hapa msije kuchanganya
1. IPTL NI LIDUDU LILILONGIA NCHINI KWA RUSHWA MWANZO MWISHO.
2. ESCROW NI ACCOUNT YA UBIA WA TANESCO NA IPTL ILIYONUNULIWA KITAPELI NA PAP
3. FEDHA RUGEMALILA ALIZOGAWA NI FEDHA HALALI, FEDHA SAFI ZA MAUZO YA HISA ZAKE NDANI YA IPTL NA HAKUNA KOSA LOLOTE KUZIGAWA POPOTE KWA YEYETE, KWA SABABU YOYOTE AU BILA SABABU YOYOTE.

Kama PAP ametumia utapeli kuuibia serikali, this is none of JR business, kauza kihalali na kalipwa kihalali na kagawa kihalali, hakuna kosa lolote hapa.

Kwahiyo kwa mantiki hii basi kma kweli Tanesco walideposit pesa ndogo kuliko iliyohitajika ina maana hizo bilion 220 serikali au tanesco haina chake zaidi ya vikodi kodi vya serikali tu????

Sasa kwa kuuliza tu kesi aliyopelekwa nayo ya uhujumu uchumi msingi wake ni upi sasa maana itakuwa pesa ni za kihalali au kesi yake ni kuinunua IPTL kihuni???

Pili ukiuza hisa zako kutoka kwenye kampuni chafu iliyonunuliwa kifisadi unakuwa huna kosa??? Kwani hisa zake hazikuwa affiliated na mtu mchafu aliyezinunua?? Je wakati anauza hakujua kuna shady business inaendelea mpaka ajiuzulu??

Anyway to cut the story short kosa la singa singa ni nini hasa?? Na je kesi anayo kweli?? Kwa maoni yako is he guilty or not?? Na kma sio je who is right kikwete au magufuli ama muhongo or kafulila/PAC???
 
sasa kwa nini washitakiwe hao wazee,kinachonishangaza zaidi ni kwa nini walitajwa wa upande mmoja tu stanibic bank hatukusikia
Mkuu huko si unajua kuna walioambiwa wapumzike ssa wakifukua makaburi si itabidi na wenyewe wahusishwe!!!! Hta simba trust tu haitajwi sembuse waliochukua za stanbic !! Anyway muda ndio utaamua ila akimulika na huko serikali itakuwa imefanya jambo la kishujaa sana
 
Back
Top Bottom