Nimesikitishwa na huu ubaguzi na udhalilishaji uliofanywa MwanaCHADEMA. Siasa sio uadui

Udhaifu wa kada moja tena asiye na wadhifa kwenye chama. Ndiyo uifanye msimamo wa chama?!.
 
Ni ushamba wa kiwango cha mwisho kabisa ila ndo siasa za bongo zilivyo
 
Chadema ni wapumbavu sana hawajielewi
CCM ni mataahira kabisa. Wakati wanachadema wakikatwa mapanga na uvccm ulishawahi kusikia viongozi wa CCM wakikemea ushenzi huo. Huyo Mzee wangempasua tu hakuna urafiki wa CCM na Chadema. Na ipo siku tutalipiza kisasi maovu yooooote yaliyofanywa na maccm washenzi wakubwa nyie .
 
Si nafuu anayemkataa mtuu kwa itikadi yake na hamdhuru .

Na hao ambao hadi awawaua hukuonaa hichoo

Kumbe mnajua kulisemea hili

Okey tulia sindano iwaingie vizr.
 
Hebu fananisha na ile ya akina Rage wakimpiga matofali kada wa chadema mbele ya polisi, na hawakuchukuliwa hatua yoyote.
 
Kwani ndiyo kudhalilishwa hapo wanavyofanyiwa wanachadema na CCM na police ulishawahi kuyakemea
 
Siasa za kifedhuri na ujeuri mnaanza wenyewe ccm , chadema wamepitia mengi sana inabidi mtulie tu
Huyo mzee kafanya nini? Mbona unakuwa hujielewi kwani wale makada si wanajulikana waende huko..

Huyo jamaa wa Chadema kwanza mshamba alivyovaa tu anaonekana mshamba.
 
CCM ni waizi ila huyu jamaa alichokifanya ni kitu Cha kipuuzi sana ila ni kawaida ya wakuria asili yao ni ushamba mwingi wakijua kuvuka barabara na kunywa bia huwa wanajiona wajanjaa kinoma yan kumbe ni ma mbanga tu nimekaa Musoma nikawajua vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…