Uchaguzi 2020 Nimesikitishwa na ubinafsi wa CHADEMA katika mkakati wa wapinzani kusimamisha mgombea mmoja

Kwa hiyo toka 2017 mpaka 2020 siasa za Chadema zilihusu hiyo kesi mahakamani pale Kisutu. Huku wabunge na madiwani wenu wakinunuliwa kama njugu. Na pia kwenda kuomba maridhiano ya Kitaifa kwenye sherehe za Uhuru pale Mwanza.

Ila nitapenda msiungane kabisa na kwa ubinafsi wenu muendelee kujiona mnaweza kushinda uchaguzi. Halafu hiyo November tupate matokeo ya jeuri yenu. Kwanza naona ACT haina cha kupoteza kivile.... Ina uhakika wa majimbo huko Zanzbar na Pemba na mengine machache hapa bara.
 
Sasa unataka Mbowe awe anakuja kuripoti huku JF kila hatua wanayofikia? Mbona kwenye mkutano mkuu wa CHADEMA alitangaza kuwa kuna mazungumzo yanaendelea. Vuta subira
 
Nakuunga mkono. CDM wasifnye kosa hilola kutosikiliza wenzao hasa ACT.
Ila nikusahihishe kidogo.. ACT imepata ujiko baada ya kuingia Maalim, short of that kulikuwa hakuna kitu! Na ukiangalia wengi ni wafuasi wa Maalim. Ila kweli kimepata nguvu ya ujio wa Maalim.
 
Waliochukua fomu kugombea urais tume ni 17 na chadema ikiwemo, lakini kwa ubinafsi wanalaumiwa chadema.Nimeamini mti wenye matunda ndo unaotupiwa mawe.
 
Watu wanakosea sehemu moja au kwa kujua au kutojua kuwa ACT ya sasa ni sawa na cuf ambayo bila ukawa haikuwa tishio kwa Tanzania bara. Hivyo hata sasa ACT ili wafanikiwe ni lazima wahitaji uungwaji mkono wa cdm tu

Sent using Jamii Forums mobile app
This is a very good analysis! Kwa bara, ACT lazima uingane na CDM kufanya vizuri. Visiwani lazima CDM iungane na ACT kufanya vizuri! Uko sahihi kabisa
 
Upo sahihi kabisa mkuu Mshana Jr hawa watu wana agenda yao na usishangae na mbaya wetu akawa nyuma ya pazia akichekelea kabisa jinsi tunavyotaka kuingia kwenye dema

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema bila nyota ya Lissu haina lolote jipya.... Ndio alikibeba sana chama 2015 hadi 2017. Alipokuwa kwenye matibabu Zitto Kabwe ndiye aliubeba upinzani wakati mgumu sana yaani 2017 hadi hii 2020 na mmekuwa mkisapoti sana hoja zake hapa. Kurudi kwa Lissu ndiko kunakowabeba sasahivi na anataka ushirikiano aliouomba kwa dhati kwenye mkutano wa ACT. Ninyi mavuvuzela ya chadema badala yakusonga mbele mmerudi kwenye kui_attack ACT eti ni chama cha mamluki na wasaliti.... Subirini mshindwe uchaguzi ndipo mtaona wakina Lijualikali na Mollel wengine waliobaki huko chamani watakavyojiuza na kununuliwa kama njugu mawe.........
Yaani ninyi Chadema mna ruhusa ya kuiongea hovyo ACT kama mlivyoanza nyodo toka Lissu arudi nchini. Tukianza kuwapiga 'spana' mnaanza kulialia hivi. Upinzani ukienda kwenye uchaguzi na siasa za majitaka za kushambuliana wenyewe kwa wenyewe nina uhakika Chadema ndiyo itapoteza pakubwa huku bara......Yaani msiungane muendelee kushambuluana halafu hiyo November tupeane mrejesho wa siasa za majitaka......
 

Umekuja na technic mpya ya kutega kunguru kwa maharage makavu?

Mtamaliza zote mwaka huu.

Hadi Oct 28 si ajabu kusikia tuchangie jiwe kwani kahamia CDM.
 
Sasa kwako lipi jema kama mwana ccm? Tangu lini ccm mliwahi kuitakua mema cdm? Cdm ni taasisi kubwa ina kila kitengo cha kuilinda, kuitetea na kuiongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mkipewa ushauri mnahisi huyu ni mamluki wa chama tawala. Nimenote ACT haina 'keyboard warriors' kama Chadema na CCM. Nikaamua kuwapazia sauti kidogo kwa sababu navutiwa na siasa yao ya sera nzuri na hoja mujarabu. Niwie radhi kwa kuparurana nawe. Uchaguzi mwema.....
 
Nguvu imekua kubwa ghafla tu kulazimisha hii kitu. Kuna Nini huko?
Kwasababu sisi wananchi tusio na vyama ndii tunataka.

CCM inatesa mnoooo watu.

Mdude yuko Jela.

Akwilini kafariki.

Alphonse Mawazo kafariki.

Lissu risasi 36 kama anauliwa dubu.

Wakulima wanateseka.

Ajira hakuna.

Rushwa imehalalishwa.

Anyway yetu macho.
 

Ww unaamini kabisa wanaccm wote watawapigia kura?
 
Ndugu yangu hata siku moja usiweke makubaliano na mchagga kichwa kichwa

Kwao uaminifu ni ZERO.

Ukiona anakufuata fuata jua kuna kitu kakiona kwako anakitaka.

Hata huyo Lissu wanampamba sana kwa kuwa wamemwona kwa sasa anaweza kuwapa watakacho.

Kama asipofanikiwa baada ya Uchaguzi, fuko lote la pesa anakuwa nalo Mbowe hawezi kumwelewa Lissu tena.

Kila mmoja kwa muda wake.

Mbowe alimtumia Slaa kupambana na Zitto.

Vile vile, Kamtumia Rose Kamili kupambana na Slaa.

Narudia tena, kuwa makini unapofanya makubaliano yoyote na mchagga.

Tusubiri UBATIZO WA MOTO PART 2.

Kumbe JIWE hajawanyoosha VIZURI.
 
Umetumwa?
CCM wanawaambieni umoja ni ushindi bado hamtaki kuelewa.
Hutaki kajinyonge cdm hatuwezi kushirikiana na virusi vya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
figganigga,

Kama unaiona cdm haina thamani mbele ya hiyo ACT yako poa tu Waacheni cdm na nyie fanyeni ushirika na TLP na CUF na NCCR

Sent using Jamii Forums mobile app
Majina hayajatoka ya wagombea waungane kivipi wakati hata wale wa CCM hawajajua mustakabali wao.

CCM yenyewe haijaunga mana CCM ni Chama chenye wapinzani wa ndani kwa ndani.
Ilikua inawagombea makumi elfu wenye uroho wa madaraka.
Hivyo kuungana kwa wapinzani sio ishu ya kuiangusha CCM.

Kuna vyama vimewekeza maisha ,Mali na muda na mateso kwa miaka Mitano.
Lakini pia kuna vyama Vilivyoingia kwa kusaidiwa na CCM ili kama vyama vingine vitasusia basi vitangazie dunia kuwa uchaguzi ulikua huru na haki.

Kwa mtizamo wangu vyama vya kuungana ni Chadema ,ACT na Chauma.
Wengine ni wamsimu wakaungane na CCM.
Walishajisalimisha huko wakiamini Chadema imekufa .
 


Mkuu.usiwaamini.sana ACt
 
Tangu lini chadema wakawa na akili timamu, kile ni kikundi cha wasaka tonge, hebu fikiria sasa hivi wachoma ofisi zao eti ili umma uwaonee huruma ya kuonewa.Kuungana na CHADEMA ni sawa na kuanzisha chama cha upinzani mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ukitegemea utashiriki sawa na vyama kongwe.
 
Kila mwaka Chadema wanataka wao ndo waweke mgombea urais.ubinafsi umewajaa sana.
Chief we mgeni na hao, watu wanafightia majimbo, ruzuku ndugu yangu. We hujui maalim sef ni mtaji mkubwa kwa zitto? Zito amejihakikishia Pemba, hata chadema wakijitia hivo, dogo anauhaka wakuwa chama kikuu cha upinzani. Mjumbe hauawi
Upinzani wote tu kuanzia Act, Chauma, CDM ni wabinafsi na wako kuisaidia ccm itawale kiurahisi kwa kuhadaa umma. Wote ni Kama kenge hawasikii mpaka watoke damu
Chadema yana tamaa sana,

Na kwa tamaa zao hizo mwaka huu hawaoati kura!

Zitto ataendelea kushine hasa Zanzibar, huku Chadema ikiendelea kushine Kilimanjaro pekee.
Chadema yana tamaa sana,

Na kwa tamaa zao hizo mwaka huu hawaoati kura!

Zitto ataendelea kushine hasa Zanzibar, huku Chadema ikiendelea kushine Kilimanjaro pekee.
SI MLISEMA KUWA CHADEMA IMEKUFA, SASA WASIWASI WENU NI NINI TENA
 
Zanzibar pia wananguvu lkn hakuna hata diwani walieshinda uchaguzi 2015. Jambo kubwa lakuangalia na ambalo nawatahadharisha upinzani manzingira ya 2015 si sawa na manzingira ya 2020 kwahio wawe makini katika kushirikiana au kutokushirikiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…