RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Nivizuri kutomuamini mtu yeyote katika siasa.Mimi huyo Zitto tangu ile issue ya miezi miwili kabla ya uchaguzi wa 2010 sijawahi kumuamini tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nivizuri kutomuamini mtu yeyote katika siasa.Mimi huyo Zitto tangu ile issue ya miezi miwili kabla ya uchaguzi wa 2010 sijawahi kumuamini tena.
Utakua unawasema chadema walipomteua mgombea toka ccm mwaka 2015Amini nawaambia ukweli kuwa kuna baadhi ya vyama ni kichaka cha watu wa usalama ( kitengo) wapo kwenye hicho chama ili kuudanganya umma tu.
Nilimsikia Lissu akizungumzia kushirikiana na si kuungana, na akasema kama wasiposhirikiana basi watachakazwa kwelikweli.Chadema haijajaribu kuungana na ACT ila ACT ndio inajaribu kuungana na Chadema.
Umeshawasikia viongozi wa Chadema wakisisitiza kila mara suala la kumsimamisha mgombea mmoja 2020?Sanasana utamsikia Zitto ndio akililia huo muungano ambao mwaka 2015 aliukataa kabisa.
Mkuu kama inapata nguvu kupitia Maalim&Membe na huku Maalim na Membe niwanachama wa ACT basi ndio turufu yao.Kwa hili hapana kabisa...napongeza maamuzi ya CHADEMA wamejifunza ya 2015 kwenye UKAWA..
Hiyo ACT ya sasa ni chotara na inapata nguvu kupitia Maalim Seif CUF na Membe CCM..
Unachosahau CUF ya 2015 haikua na mtu mwenye kariba ya Zitto na Mwenye kariba ya Membe, mimi nashauri kama wewe wala wasishirikiane hata kidogo, halafu tuje hapa baada ya uchaguzi kufanya tathmini ya Nani kapata nini na nani kakosa nini, bila kulialia kuhusu faulo zilizochezwa na tumeccm&policeccm.Watu wanakosea sehemu moja au kwa kujua au kutojua kuwa ACT ya sasa ni sawa na cuf ambayo bila ukawa haikuwa tishio kwa Tanzania bara. Hivyo hata sasa ACT ili wafanikiwe ni lazima wahitaji uungwaji mkono wa cdm tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na lipumba bado yuko anaelea elea kwenye mto hatjui maji yatamtua wapi- Prof anauliwa chama kijingaNaona CCM+TLP+TADEA wameunda ukawa yao hii 2020.
Kweli hali ni tete.
ACT ishirikiane na CCM dhidi ya CHADEMACCM wanawaambieni umoja ni ushindi bado hamtaki kuelewa.
Zitto alishiriki uchaguzi huku chama chake anachosemekana kuanzisha akiwa ndani ya CDM kikiwa na mwaka mmoja, alibahatika kupata mbunge mmoja, nahalmashauri moja huku akiwa katikati ya dhoruba kali ya CDM&CCM kutomtaka arudi bungeni, na alifanikiwa pia kupata madiwan baadhi ya maeneo kama Mbeya&Dodoma&Tabora.Kwa maana yako Zitto ndiyo kinara wa upinzani hapa Tanzania? Twambie mafanikio ya Zitto akiwa pekee yake maana mwaka 2015 ACT ilishiriki pia uchaguzi!
Wewe ni kidagaa tu hapo chadema!
Tuweke hakiba ya maneno kuna mtu atakuja kujitoaMkuu kama inapata nguvu kupitia Maalim&Membe na huku Maalim na Membe niwanachama wa ACT basi ndio turufu yao.
Hakuna mahala niliposema ACT nikubwa kuliko CDM, nawala mimi sio ACT bali nimtu naetaka ACT&CDM washirikiane ili kuongeza nguvu katika urais ili tuone angalaua @Maguful akipata kashkash, sisi wengine tutaenda kupiga kura kama wapinzani watashirikiana tofauti na hapo siwezi kwenda kupiga kura kuongezea vyama ruzuku, huku nikiwa naamini bila ushirikiano ccm haiwezi toka madarakani.Vema kabisa, sasa kama mnalijua hili kuwa ACT ni kubwa sana kwa sasa kuliko vyama vingine inakuwaje mnalia lia juu ya cdm kukataa kuwaunga mkono?
Nyinyi mlikataa kujiunga na ukawa na watu wakasonga zao mbele, sasa nanyi tulieni tu maisha yasonge tu
Zitto hakukataa kujiunga na ukawa aliandika barua yakuomba kujiunga ukawa lakini alikataliwa. Kwa mazingira hayo kila alilolifanya kuelekea uchaguzi na baada yauchaguzi alikua sahihi maana hakua sehem ya ukawa. Na hata sasa kama wasiposhirikiana kila chama kitakua huru kufanya yale kinayoyaona yanafaa hata kama nikushirikiana na ccm kudumisha chama kingine ilichenyewe kipate sababu ya kukua.Tupatie sababu iliyo mfanya Zitto akakataa kujiunga na ukawa mwaka 2015!
Umeanza lini kuwashauiri wa chamema? Watakati wanataabika na kutaabishwa na serikali dhalimu ulikuwa wapi?Salaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Mkuu, hivi unajua hakuna kitu kibaya kama kulishwa sumu na mtu na ukakubali kuimeza, kumbuka huyo magufuri yeye ana chuki binafsi na wapinzani hasa chadema, na ndio maana alitaka kumuua Lissu, sasa chuki yake hiyo ambayo ni yeye anayejua ilikoanzia yaani kiini chake amekuwa akiwalisha watu na kwa bahati mbaya watu wanakubali kuimeza na kuiweka kwenye mioyo yao, unamchukiaje mtu kwa sababu kulishwa maneno ya sumu na mbaya wake ilhali wewe huna ubaya na huyo mtu ?, ifike mahala watanzania tujitambue, kama musa ana chuki na bakari haipaswi Hamadi alishwe sumu ya chuki na aamue kuungana na musa kumchukia bakari, Mkuu una chuki ya hatari sana na Upinzani, ninakuombea kwa Mungu akuponye, kwa sababu Neno la Mungu linasema Tafuteni kwa bidii kuwa na AMANI na watu wote ili muweze kuurithi Ufalme wa Mungu.Chadema yana tamaa sana,
Na kwa tamaa zao hizo mwaka huu hawaoati kura!
Zitto ataendelea kushine hasa Zanzibar, huku Chadema ikiendelea kushine Kilimanjaro pekee.
Hatutaki baadae mje kulia mnahujumiwa humu , kuwa mnahujumiana huku mnaendekeza ruzuku badala ya kuangalia namna bora ya kuitoa ccm.Basi kila mtu atazame kitakacho mfaa wacheni kulia lia tunajua kuwa mnatumiwa na ccm
Kama chuki ya Zitto na MBOWE ishahamia kwenye taasisi huku wao wanajua chuki zao ni za nini, wanachekeana huku wanaviziana kila mtu ammalize mwenzake.Mkuu, hivi unajua hakuna kitu kibaya kama kulishwa sumu na mtu na ukakubali kuimeza, kumbuka huyo magufuri yeye ana chuki binafsi na wapinzani hasa chadema, na ndio maana alitaka kumuua Lissu, sasa chuki yake hiyo ambayo ni yeye anayejua ilikoanzia yaani kiini chake amekuwa akiwalisha watu na kwa bahati mbaya watu wanakubali kuimeza na kuiweka kwenye mioyo yao, unamchukiaje mtu kwa sababu kulishwa maneno ya sumu na mbaya wake ilhali wewe huna ubaya na huyo mtu ?, ifike mahala watanzania tujitambue, kama musa ana chuki na bakari haipaswi Hamadi alishwe sumu ya chuki na aamue kuungana na musa kumchukia bakari, Mkuu una chuki ya hatari sana na Upinzani, ninakuombea kwa Mungu akuponye, kwa sababu Neno la Mungu linasema Tafuteni kwa bidii kuwa na AMANI na watu wote ili muweze kuurithi Ufalme wa Mungu.
Siku Njema
Chadema bila nyota ya Lissu haina lolote jipya.... Ndio alikibeba sana chama 2015 hadi 2017. Alipokuwa kwenye matibabu Zitto Kabwe ndiye aliubeba upinzani wakati mgumu sana yaani 2017 hadi hii 2020 na mmekuwa mkisapoti sana hoja zake hapa. Kurudi kwa Lissu ndiko kunakowabeba sasahivi na anataka ushirikiano aliouomba kwa dhati kwenye mkutano wa ACT. Ninyi mavuvuzela ya chadema badala yakusonga mbele mmerudi kwenye kui_attack ACT eti ni chama cha mamluki na wasaliti.... Subirini mshindwe uchaguzi ndipo mtaona wakina Lijualikali na Mollel wengine waliobaki huko chamani watakavyojiuza na kununuliwa kama njugu mawe.........
Yaani ninyi Chadema mna ruhusa ya kuiongea hovyo ACT kama mlivyoanza nyodo toka Lissu arudi nchini. Tukianza kuwapiga 'spana' mnaanza kulialia hivi. Upinzani ukienda kwenye uchaguzi na siasa za majitaka za kushambuliana wenyewe kwa wenyewe nina uhakika Chadema ndiyo itapoteza pakubwa huku bara......Yaani msiungane muendelee kushambuluana halafu hiyo November tupeane mrejesho wa siasa za majitaka......
Hujaeleza Chadema wamefanya niniSalaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Subiri kelele za ACT imetumiwa na CCM kupunguza kura za CHADEMA.Unachosahau CUF ya 2015 haikua na mtu mwenye kariba ya Zitto na Mwenye kariba ya Membe, mimi nashauri kama wewe wala wasishirikiane hata kidogo, halafu tuje hapa baada ya uchaguzi kufanya tathmini ya Nani kapata nini na nani kakosa nini, bila kulialia kuhusu faulo zilizochezwa na tumeccm&policeccm.