Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Ebu anza kuweka pesa za kununua nepi.Mimba ni yako wacha kukimbia majukum.
 
Ntaendelea kumpeleleza ikishindikana basi,, lakini me hofu yangu labda kuna jamaa lilkuwa linamega, japo ameniaminisha kwa 100% kuwa mimba ni yangu.
Piga hesabu vizuri kiongozi hizo tarehe ulizoserebuka naye ni siku hatarishi kwake.

Una umri gani kwanza?
 
Asante mkuu ntalifanyia kazi
 
Wanawake na wadada mliomo humu narudia tena

Sio kila anaekojoa amesimama anafaa kuwa mumeo na baba wa familia. Ona hii malaria
Hahahaa ngoja niwe maralia, hata we unaweza ibiwa na mkeo
 
Eti kokakola[emoji1787]

Ila daah stress za mimba usioitarajiwa zinasumbuaga Sana akili

Niliyapitia hayo mwezi wa kwanza aisee baada kukutana na mamsapu fulani hivi

Sema nilikuwa kimya nikawa nahesabu siku tu Mara paaap mwezi ukakatika mtu Yuko kimya Mara paaap! Mwezi wa pili nikasema shauri zake

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ukimya gani mkuu?
Au ulihisi umeuziwa ukakaa kimya?
 
Ushauri wako kwangu mkuu
Nishauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…