Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kama nakuona yani nimecheka sana. Yani haya mambo ya kwichi kwichi hayanaga mbabe hahahhahahahhaHaya mambo ya wanawake bhana, alisema alifundishwa kuwa unapo inywa mbegu zinashuka chini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nakuona yani nimecheka sana. Yani haya mambo ya kwichi kwichi hayanaga mbabe hahahhahahahhaHaya mambo ya wanawake bhana, alisema alifundishwa kuwa unapo inywa mbegu zinashuka chini.
Piga hesabu vizuri kiongozi hizo tarehe ulizoserebuka naye ni siku hatarishi kwake.Ntaendelea kumpeleleza ikishindikana basi,, lakini me hofu yangu labda kuna jamaa lilkuwa linamega, japo ameniaminisha kwa 100% kuwa mimba ni yangu.
Asante mkuu ntalifanyia kaziDaah aisee ukipiga dry kuruka mimba huwa ni ngumu aisee.
Lakini na wewe kajamaa unaenda kununua coca badala ya condom.
Fanya hivi sasa japo ni maumivu, hifadhi tarehe mliyokutana(mimba ilipoingia) , hadi tarehe atakayojifungua walau unaweza kupiga hesabu zako kujijua kama we ni muhusika ama lah, hii njia ilishwahi kuniokoa na kisanga kama chako.
Ukimya gani mkuu?Eti kokakola[emoji1787]
Ila daah stress za mimba usioitarajiwa zinasumbuaga Sana akili
Niliyapitia hayo mwezi wa kwanza aisee baada kukutana na mamsapu fulani hivi
Sema nilikuwa kimya nikawa nahesabu siku tu Mara paaap mwezi ukakatika mtu Yuko kimya Mara paaap! Mwezi wa pili nikasema shauri zake
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Halafu mtoto akaja akatukomboa kutoka kwenye kutawaliwa na li-Ccm kama nabii Mussa alivyowakomboa wana wa IsraeliLea tu mkuu anaweza akaja kuwa Rais badae
Ushauri wako kwangu mkuuMkuu mwana mke akisema hii mimba yako hakuna kupinga mm nilishawai kukataa mimba nikajua labda akizaa atabadilisha maamuz na sikutoa hata mia lakn aliendelea kushikilia msimamo huo huo mtoto kuzaliwa mm kabisa nilipata aibu nikaanza kujikomba komba mtoto anamiaka saba sasa hivi namlea kama kawa nilisha jifunza mkuu