Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Naomba nikuulize hili swali,Ni changamoto gana alizo kuwa anapata hapo alipokuwa anaishi then nitajua mimba ni Yako au lah
 
Naomba nikuulize hili swali,Ni changamoto gana alizo kuwa anapata hapo alipokuwa anaishi then nitajua mimba ni Yako au lah
Changamoto za kifamilia tu mkuu maana alikuwa akishi kwa ma mdogo wake na wewe unajua tu mambo ya kuishi kwa mtu, akikuchoka visa vingi.
 
Wewe ni mwaminifu? Au yeye tu ndio wanatakiwa kuwa mwaminifu? Hii concept ya uaminifu unaitumia vibaya, usiitumie tena! Angekua habebi mimba Kama wewe basi hata akiouyanga huko ataonekana "mwaminifu*?
Uaminifu inatakiwa kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…