Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kuna kitu naomba nikwambie,sina tatizo na kuguswa na matatizo ya mshikaji wako,umefanya vizur
Ila
Umefeli kutoa sababu hiyo Kwa mwenza wako,tambua na ujue mwanamke hapo kilicho mjia kichwani kwake ni umemchagua rafiki dhidi yake,na hiyo ni dharau kubwa Sana.
Nielewe vizur hapa,yeye taarifa ambayo imeclick ubongo wake si changamoto za rafiki yako Bali rafiki yako ndio muhimu zaidi kuliko yeye! Next time chagua maneno ya kusema na sababu za kusema.
Lkn
Pili, umeshindwa kujua reaction ya mwenza wako ni emotional zaidi,Kwa maana ana hasira na ndio maana ametoa huo uamuzi,kibaya Zaidi na wewe ikawa kama yeye mwisho wa siku ndipo mlipofikia hapo.
Usiwe na dhana mbaya labda ana mtu and Al that nah! Just chill mtafute ukiona amekul down then muyajenge.
Ni hayo Tu!