Nimesitisha kutoa mahari

Nimesitisha kutoa mahari

Kuna kitu naomba nikwambie,sina tatizo na kuguswa na matatizo ya mshikaji wako,umefanya vizur

Ila

Umefeli kutoa sababu hiyo Kwa mwenza wako,tambua na ujue mwanamke hapo kilicho mjia kichwani kwake ni umemchagua rafiki dhidi yake,na hiyo ni dharau kubwa Sana.

Nielewe vizur hapa,yeye taarifa ambayo imeclick ubongo wake si changamoto za rafiki yako Bali rafiki yako ndio muhimu zaidi kuliko yeye! Next time chagua maneno ya kusema na sababu za kusema.

Lkn


Pili, umeshindwa kujua reaction ya mwenza wako ni emotional zaidi,Kwa maana ana hasira na ndio maana ametoa huo uamuzi,kibaya Zaidi na wewe ikawa kama yeye mwisho wa siku ndipo mlipofikia hapo.

Usiwe na dhana mbaya labda ana mtu and Al that nah! Just chill mtafute ukiona amekul down then muyajenge.

Ni hayo Tu!
 
Mwanaume anaejielewa pia asingekubali kamuombe msamaha dada wa watu unachokitafuta utakipata nakwambia u choose your friend over your future 1 mbn ukiwa na kiu humuombi huyo rafiki yako
Kiu ya kitu gani? Mbususu ? Are you serious? Damn[emoji2][emoji2][emoji2] hivi unahisi watu wanaoa au kutoa mahari kwa mwanamke kwasababu ya mbususu? Nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa hizo mbususu ambazo wanawake wanahisi wanaume hatuwezi kuishi bila hizo wataziweka makumbusho maana zitakuwa hazina kazi

Ndoa, mahusiano ni zaidi ya tendo la ndoa ... Wanawake fungukeni akili.

Mungu atusaidie kichwa cha juu kiwe na maamuzi zaidi ya kichwa cha chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yenyewe ndio haya ya kina Harmonize na Kajala.., Jikatae Mwamba!
 
Kiu ya kitu gani? Mbususu ? Are you serious? Damn[emoji2][emoji2][emoji2] hivi unahisi watu wanaoa au kutoa mahari kwa mwanamke kwasababu ya mbususu? Nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa hizo mbususu ambazo wanawake wanahisi wanaume hatuwezi kuishi bila hizo wataziweka makumbusho maana zitakuwa hazina kazi

Ndoa, mahusiano ni zaidi ya tendo la ndoa ... Wanawake fungukeni akili.

Mungu atusaidie kichwa cha juu kiwe na maamuzi zaidi ya kichwa cha chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbususu ziwe makumbusho?😀
 
Dada yuko sawa. Mkuu kweli rafikiyo kapata shida lakin mke ni muhimu pia. Kwanini usingeenda kujicommit ukweni na kias flani cha fedha. Hii inaonekana kama umemdharau na hakuna mwanamke anaependa kuwekwa pembeni kama refa tu....
You really think, bride price inajustify umuhimu au value yako[emoji23][emoji23][emoji23]. Aki, watu wanalipwa pesa ya 10-15M na anaweza kukutolea mahari ya 7M lakini kila siku anakuletea kimada ndani halafu usithubutu kuongea au kunyanyua mdomo maana ulishakubali 7M ijustify umuhimu au value yako. Eti dharau, sio kwamba amemwambia nikuache ili nimsaidie rafikiye bali mahari atailipa baadae lakini utu ukauweka kwenye pesa ya mahari. [emoji23][emoji23] niulize kipi ambacho mwanamke amekifanya cha zaidi kupita mwanaume ndani ya hayo mahusiano au ndio kuishi na mwanaume, mwanamke kafanya favor[emoji23][emoji23][emoji23]. Haya!
 
Mke ni kitu kingine kabisa ana haki ya kuvunja huo uchumbah uyo dada Kwan ameona fika yy hana thamani kama huyo rafiki yako uliemthamini umempotezea muda dada wa watu ndugu yangu
Put emotions pembeni, tafadhali nijuze ni muda upi amempotezea huyo mdada. And please be realistic and factual.
 
Seriously wanawake hamna wema na hamtakuwa nai. Kuishi na mwenzako 2yrs unachukulia kama wewe umemfanyia favor mwanaume, duh! Nakatika miaka hiyo yote mliishi kwa amani kila mmoja akifanya majukumu yake, mwanaume hakukuomba nilipe pesa ya kuishi na kukulipa humu ndani ila wewe unataka ulipwe [emoji23][emoji23]. Kitu msichokijua, hamjui mtu ametokea wapi bali mmekuta mafanikio ndani basi nanyi mkajibebesha tuzo[emoji1787][emoji1787]. Tangu utotoni mwanaume hupitia maisha ya changamoto kama mwanamkw na hata zaidi ila nyie mwaona kuishi tu na mwanaume kuwa mmefanya favor. At this point huoni maana ya ndoa maana mmoja anaifanya ndoa ni biashara[emoji23][emoji23][emoji23]. I really hate women! Hamna shida tuendelee kuishi.
Kwan ugomvi Jamani Sasa akishindwa kumuelewesha mwenzie Kwa namna nzuri

Kwanini asitafute sabbu nyingine akamwambia au lah akaenda akatoa mahari nusu anaelewa mwenzie anajisikiaje
 
Kwan ugomvi Jamani Sasa akishindwa kumuelewesha mwenzie Kwa namna nzuri

Kwanini asitafute sabbu nyingine akamwambia au lah akaenda akatoa mahari nusu anaelewa mwenzie anajisikiaje
Kueleweshwa vizuri kiaje, unataka ukweli au nikuongopee. Shida ya mtu haitambui hisia zako, it's either usaidie na kuweka hisia zako pembeni au acha kusaidia. Kwani unavyoamini jamaa hana hisia za kumpenda huyo mwanamke. Mkiongopewa mnasema wanaume siwakuwaamini na ni mbwa, mkiambiwa ukweli mnaleta bado sijui hisia. Unajua kuna watu hawajui kuongopa pia akishaanza kuongopa usimlaumu hata kidogo huko mbeleni maana wewe ndio uliujenga huo msingi. Mnayafanya maisha kuwa magumu with no reason aisee. Yaani jua ukweli unakuja na machungu na kamwe kuishi katika uongo hakutamuacha mtu salama.
 
kuwa mwanaume kunakamilika na kuwa na maamuzi magumu ambayo s yakusita Wala kujuta Hongera Sana mkuu
 
Kwa upande wako unaona uko sahihi lakini ungeweza kufanya yote kwa pamoja bila kuathiri chochote, inaonekana hukuwa serious na huyo Mchumba wako.
 
Back
Top Bottom