Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
Kama tunataka kupunguza utegemezi tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya fikraAisee
Nchi inaongozwa kimchongo sanaUkioona hivyo ujue kuna fala anafaidika
Sanaaaaaa.Nchi inaongozwa kimchongo sana
Unakuta mtanzania mwema mwenye uchungu na nchi yake anadakwa kwa uchochezi.Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd billion 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
Usd billion 27 ni kidogo ?Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd billion 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
Typing error ni usd millio 27Usd billion 27 ni kidogo ?
Naongelea nchi na sio mimi jikite kwenye madaSikubaliani na uwekezaji wa dola milioni 27 lakini ulivyotaja mtaji wa dola bilioni moja ni kama ulishawahi kuishika.
PamojaLeo nakuunga mkono mkuu....umetema point tu sasa nitaanza kukufuatilia uwenda kweli ni presidential material
USD mil 27, na sio USD bil 27. Sio kidogo lakini hizo wampe Mo/GSM/Bakharesa/Lugumi na raia wengine wawekeze huko.Usd billion 27 ni kidogo ?
Kuna mambo tunafanya ni ya ajabu sana na waziri anapiga nae picha kabisaUSD mil 27, na sio USD bil 27. Sio kidogo lakini hizo wampe Mo/GSM/Bakharesa/Lugumi na raia wengine wawekeze huko.
Kuna watanzania wengi wenye kuweza kuwekeza hicho kiasi.
Tuweke standard mwekezaji wa nje aje awekeze kwenye mradi ambao sisi kama nchi hatuweziUnakuta mtanzania mwema mwenye uchungu na nchi yake anadakwa kwa uchochezi.
Kweli ni maajabu usd mil 27 uwekezaji gani huo kwenye unchi
Kuna haja ya kuwenga viwango madhubuti vya uwekezaji
Kabisa huo ni mradi wa wazir flan na una msamaha wa Kodi.Ukioona hivyo ujue kuna fala anafaidika
Ukiongea vitu vizuri kama hivi utatekwa au kuswekwa Lupango.Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
What if wawekezaji ni hawa hawa ila wanatuzunguka😀😀Tuweke standard mwekezaji wa nje aje awekeze kwenye mradi ambao sisi kama nchi hatuwezi
Hii nchi inabidi tuipiganie tukikaa kimya vizazi vijavyo vitakuja kutulaumu sanaUkiongea vitu vizuri kama hivi utatekwa au kuswekwa Lupango.