Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Unapowekeza maana yake hivyo vitu vyote viko ndani ya Project planning yakoHata kama mtaji ni mdogo kwa Serikali kuwekeza je?
1. Unalo soko la Helium?
2.Unayo reknolojia ya kuchimba?
3. Uayo nguvu kazi ya kuchimba?
Watanzania ni walalamishi sana na kuna wakati hatujui tunataka nini. Kuendesha Mwendokasi tu kunatushinda. Tunalalamika huduma mbaya lakini Serikali ikitaka kuleta Mwekezaji napo tunalalamika.
Haya tunaendesha ATCL sisi wenyewe lakini juzi CAG kasema ina hasara ya Tsh 329 Billion