Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
MKuu dola bilioni moja ni Trilioni 2.7.Sikubaliani na uwekezaji wa dola milioni 27 lakini ulivyotaja mtaji wa dola bilioni moja ni kama ulishawahi kuishika.
Ile picha nimeona amepiga na mzunguWhat if wawekezaji ni hawa hawa ila wanatuzunguka😀😀
Yaani Mkuu inasikitisha sanaHii nchi inabidi tuipiganie tukikaa kimya vizazi vijavyo vitakuja kutulaumu sana
Mtoa mada na ukoo na kabisa lake mpk waliokufa wameshawahi shika dola million moja au anapumuliwa tu anaijua dola million 27Sikubaliani na uwekezaji wa dola milioni 27 lakini ulivyotaja mtaji wa dola bilioni moja ni kama ulishawahi kuishika.
Unawaza Ki local Sana.Mtoa mada na ukoo na kabisa lake mpk waliokufa wameshawahi shika dola million moja au anapumuliwa tu anaijua dola million 27
Ukinitukana Hakuna unachonipunguzia wewe tukana wewe ukichoka utaacha utaendelea na shughuki zakoMtoa mada na ukoo na kabisa lake mpk waliokufa wameshawahi shika dola million moja au anapumuliwa tu anaijua dola million 27
Hata kama mtaji ni mdogo kwa Serikali kuwekeza je?Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
Sikiliza video yangu tena nimeelezea mpaka swala la managementHata kama mtaji ni mdogo kwa Serikali kuwekeza je?
1. Unalo soko la Helium?
2.Unayo reknolojia ya kuchimba?
3. Uayo nguvu kazi ya kuchimba?
Watanzania ni walalamishi sana na kuna wakati hatujui tunataka nini. Kuendesha Mwendokasi tu kunatushinda. Tunalalamika huduma mbaya lakini Serikali ikitaka kuleta Mwekezaji napo tunalalamika.
Haya tunaendesha ATCL sisi wenyewe lakini juzi CAG kasema ina hasara ya Tsh 329 Billion
Umeandika nini we bwege?Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
sema kuikataa ccm mazima ,huwezi badilisha maswala nchi hii chini ya ccm kwani hizo kampuni ni wao wenyeweKama tunataka kupunguza utegemezi tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya fikra
Mkuu kwa nini iyo USD m27 usingewekeza wewe. Au counter offer uchukue ilo dili.Kama tunataka kupunguza utegemezi tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya fikra
Nchi ishakuwa shamba la bibi hii! Mimi huku tamisemi najilia kwa urefu wa kamba piaNimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
Mwendokasi tu hamna uwezo wa kui -operate, je uwezo wa kuchimba nan kuiuza helium mnao?Nchi ishakuwa shamba la bibi hii! Mimi huku tamisemi najilia kwa urefu wa kamba pia
Sawa Kiwira alijichukulia Mkapa lakini ankanyang'anywa. Baada ya hapo mnaifanyia nini hiyo Kiwira Coal?Wala sishangai maana ni muendelezo tu huu
Kama Kiwira mzee alijichukulia kwa bei ya Mbuzi ni sawa tu
NothingSawa Kiwira alijichukulia Mkapa lakini ankanyang'anywa. Baada ya hapo mnaifanyia nini hiyo Kiwira Coal?
Miradi mingi Serikali inaweza wekeza na management ikatafuta hata foreigner,.27 million usd ni wastani wa shilingi za Tanzania bilioni 72.72
Makusanyo yetu Kwa Mwezi Kwa mujibu wa TRA ni shilingi Trillion 1.8
Kumbe tukiamua wenyewe kuwekeza kwenye huo mgodi, tunaweza kama Nchi
Ni swala la kuwa na maPlanner wazuri
Tatizo Serikali yetu haina Vipaumbele vya kutufanya tupige hatua za maendeleo