Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Unapowekeza maana yake hivyo vitu vyote viko ndani ya Project planning yakoHata kama mtaji ni mdogo kwa Serikali kuwekeza je?
1. Unalo soko la Helium?
2.Unayo reknolojia ya kuchimba?
3. Uayo nguvu kazi ya kuchimba?
Watanzania ni walalamishi sana na kuna wakati hatujui tunataka nini. Kuendesha Mwendokasi tu kunatushinda. Tunalalamika huduma mbaya lakini Serikali ikitaka kuleta Mwekezaji napo tunalalamika.
Haya tunaendesha ATCL sisi wenyewe lakini juzi CAG kasema ina hasara ya Tsh 329 Billion
Nimeshakuambia tujifunze nchi za gulf mfano Emirates airline na etihad airline ceo ni wazungu ila waekezaji ni zile Royal family za emirateSawa Kiwira alijichukulia Mkapa lakini ankanyang'anywa. Baada ya hapo mnaifanyia nini hiyo Kiwira Coal?
Waafrika tumetishiwa sana yaani uyachimbe madini alafu ukose pa kuyahuzia sio kweliUnapowekeza maana yake hivyo vitu vyote viko ndani ya Project planning yako
Wamekwambia wanataka huko,hawa wanawekeza kwenye upigaji na sio kwenye madini.USD mil 27, na sio USD bil 27. Sio kidogo lakini hizo wampe Mo/GSM/Bakharesa/Lugumi na raia wengine wawekeze huko.
Kuna watanzania wengi wenye kuweza kuwekeza hicho kiasi.
Kwa sahivi hakuna ila nimependekeza uwe tsh billion 500 ila mimi ningekuwa Rais ningeweka trillion 1.5 mwekezaji aje kuwekeza kwenye mradi wa trillion 1.5 na zaidi na sio chini ya hapoMtaji wa chini kwa muwekezaji wa nje ni kiasi gani?
Madini yote Africa ni sio mali yetu sisi ni walinzi tu.Waafrika tumetishiwa sana yaani uyachimbe madini alafu ukose pa kuyahuzia sio kweli
Madini yote masoko yao yanajulikana na tukiendelea na hizi mindset ni ngumu sana kujikwamua
kwa nchi kama hii inayo ongozwa kwa vicoba na songesha $27M ni nyingi mno..tena tegemea kusikia hiyo kampuni itakuwa na msamaha wa kodi kwa miaka 3-5 ya kwanza ili iweze kusimama 😎 😎 😎Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
Nani aliyekudanganyaMadini yote Africa ni sio mali yetu sisi ni walinzi tu.
Na kwa kasi hii ya Mchina uchimbaji sidhani ndani ya miaka kumi madini yatakuwepo
Mimi sijadharau fedha sikiliza tena kwa umakini kwenye video nilichosemaUSD 27m mnaichukuliaje wazee? Pia inabidi mleta mada ujue maana ya investment. Hata USD 500K ni nyingi sana inayoweza kuwekezwa kwenye nchi nyingi. Mimi ninashauri ziwekwe kanuni kuwa wawekezaji wabakize kiasi kikubwa cha faida kwenye nchi badala ya kusomba faida yote kwenda kwenye nchi zao. Pia serikali ihakikishe wafanyakazi karibu wote ni watanzania.
hiyo pesa hata mwiguru anaweza kuwekeza ni jambo la aibu sana hili maana jamaa atachukua mkataba mrefu Kwa Hela mbuzi alioweka nb Traole akiona hii atalia sana huko bukinabeTuweke standard mwekezaji wa nje aje awekeze kwenye mradi ambao sisi kama nchi hatuwezi
Unaijua kasi ya uchimbaji wa wachina tuulize sisi tuliokwenye game hao jamaa wametumwa pesa wanafanya kazi 24 hrs usiku kwao mchana KAZI ya mwaka ndani ya mwezi washamalizaNani aliyekudanganya
Hapa hapa kisiwa cha amani???Ukiongea vitu vizuri kama hivi utatekwa au kuswekwa Lupango.
Uwekezaji wote wa China Tanzania haufiki dola bilioni kumi na mbili na ndiyo mwekezaji mkubwa.Mleta mada anaposema mwekezaji asiruhusiwe mpaka awe na mtaji wa dola bilioni moja ni wawezekaji wangapi watachukua risk ya kuwekeza kwenye Nchi ambayo hata umeme ni shida.M
MKuu dola bilioni moja ni Trilioni 2.7.
Hizi sio hela nyingi kwa uwekezaji mkubwa wa Kimataifa.
$27 million kwa sasa sio hela ya kutisha. Ukiigeuza kwa madafu ni kama Billion 70 hivi.Mtoa mada na ukoo na kabisa lake mpk waliokufa wameshawahi shika dola million moja au anapumuliwa tu anaijua dola million 27
Inawezekana vizuri tuUwekezaji wote wa China Tanzania haufiki dola bilioni kumi na mbili na ndiyo mwekezaji mkubwa.Mleta mada anaposema mwekezaji asiruhusiwe mpaka awe na mtaji wa dola bilioni moja ni wawezekaji wangapi watachukua risk ya kuwekeza kwenye Nchi ambayo hata umeme ni shida.
Exactly hio ndo point yangu$27 million kwa sasa sio hela ya kutisha. Ukiigeuza kwa madafu ni kama Billion 70 hivi.
Kwa ufisadi unaofanyika nchini awamu hii hio pesa wanasiasa na viongozi wengi wanayo hio pesa na hata wakisema waungane wawili tu wakatengeneza hio budget wanawekeza vizuri tu.
Lakini haijawahi kutokea kwa mtu binafsi kuwekeza zaidi ya dola bilioni moja kwenye biashara yoyote Tanzania ukiondoa miradi ya kiserikali na ikitokea TIC itabidi ipongezwe.Inawezekana vizuri tu