Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ametolea mfanUwekezaji wote wa China Tanzania haufiki dola bilioni kumi na mbili na ndiyo mwekezaji mkubwa.Mleta mada anaposema mwekezaji asiruhusiwe mpaka awe na mtaji wa dola bilioni moja ni wawezekaji wangapi watachukua risk ya kuwekeza kwenye Nchi ambayo hata umeme ni shida.
Jamaa ametoa mfano tu kwamba lazima kuwe na minimum investiment sio waje na uswahili swahili.Lakini haijawahi kutokea kwa mtu binafsi kuwekeza zaidi ya dola bilioni moja kwenye biashara yoyote Tanzania ukiondoa miradi ya kiserikali na ikitokea TIC itabidi ipongezwe.
Umeongea point ila USD 1B duu apo watakuj wachache sanaNimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
View attachment 3319635
Ni kweli, na hiyo inatutafuna sana.Miradi mingi Serikali inaweza wekeza na management ikatafuta hata foreigner,.
ILa mingi inafeli sababu tunalazimisha management lazima itoke Tanzania hapo ndo tunapofeli
Hasa anaposema mwekezaji sharti awe na 1B dollars kwa vigezo gani tulivyonavyo vya kumvutia vitajwe.Ametolea mfan
Jamaa ametoa mfano tu kwamba lazima kuwe na minimum investiment sio waje na uswahili swahili.
Kwa hiyo watu wamepoteza ajira ambazo zingetengenezwa, bidhaa, mapato, kodi pamoja na mazingira na miundombinu ya jirani imedumaaNothing
Hakuna jambo rahisiHasa anaposema mwekezaji sharti awe na 1B dollars kwa vigezo gani tulivyonavyo vya kumvutia vitajwe.
Hujui dynamics za international business na cartels zinavyofanya kaziWaafrika tumetishiwa sana yaani uyachimbe madini alafu ukose pa kuyahuzia sio kweli
Madini yote masoko yao yanajulikana na tukiendelea na hizi mindset ni ngumu sana kujikwamua
Kuna tatizo kubwa sanaKwa hiyo watu wamepoteza ajira ambazo zingetengenezwa, bidhaa, mapato, kodi pamoja na mazingira na miundombinu ya jirani imedumaa
Wewe ndo hujui sababu bado unaishi kwenye fikra za mwafrika hawezi chochoteHujui dynamics za international business na cartels zinavyofanya kazi
Jibu mada.Ni vigezo gani unavyoweza kumpatia mwekezaji kwa sharti lazima asiwe na chini ya dola bilioni moja kuwekeza.Hakuna jambo rahisi
Corporate tax unampa asilimia 8 na vat asilimia 5Jibu mada.Ni vigezo gani unavyoweza kumpatia mwekezaji kwa sharti lazima asiwe na chini ya dola bilioni moja kuwekeza.
Hujui, acha kubwabwaja kama gumegumeWewe ndo hujui sababu bado unaishi kwenye fikra za mwafrika hawezi chochote
Sawa mkuu.Corporate tax unampa asilimia 8 na vat asilimia 5
Mwafrika anaamini kila kitu hawezi bali mzungu anaweza fikra za wapi hiziHujui, acha kubwabwaja kama gumegume
Wewe unachoweza ni kulalamika tu, sisi tunakupa reality kwenye groundMwafrika anaamini kila kitu hawezi bali mzungu anaweza fikra za wapi hizi