Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

We jamaa nikiazi sana
 
Laki 3 haitoshi kabisa.
 
Hii post umetumia simu gani?? Au umeazima??
Ukijibu hili.
Nakushauri uza na hii uliopostia uongezee kisha nikupe wazo
 
masanjuo mbona Dar ina kazi nyingi sana za kuingiza pesa?

Nunua nguo uza mikoani au nunua viatu karume tembeza mitaani

Fanya udalali wa vitu kariakoo

USIKUBALI KUOLEWA kama wengine wanavyoshauri

ukihitaji tubadilishane mawazo zaidi nipe namba inbox...
 
Jaribu kuuza maziwa fresh na mtindi maeneo kama k/koo naamini hautatoka kapa
 
Mtu anaomba ushauri wa kumuinua kiuchumi unaleta comment za kipuuzi sio kila Mada ucomment mkuu maana Kuna Mada zinaweza kuzidi upeo wako wa akili Kama hii. Ambapo inakufanya uropoke ujinga bila kujijua
Wewe ni mpumbavu.

Kuoa ni jambo baya?

Unaelewa kwamba hata ndoa inaweza ikawa chanzo cha kumuinua mtu kiuchumi.

Unafahamu kwamba kuna watu wamekuwa matajiri kwa sababu ya kuoa au kuolewa na matajiri.

Halafu kuna ubaya gani kumuuliza mtu kama yupo tayari kuolewa?

Kwani kuoa ni kitu kibaya?
 
Unaona unavyojibu kimaandazi , huyo aliyeleta mada ameomba ushauri wa kuoa au kuolewa? Je kuoa na kuolewa nibiashara? Wewe huna tofauti na wanawake wanaojua kuolewa ndio kujikomboa kiuchumi, wakati tunataka wanawake wafanye kazi wajikwamue kiuchumi unaleta pumba zako sijui wakati unaandika kichwa kinakuwa kimekatwa au vip
 
Kuolewa ni biashara.

Kama ulikuwa hujui anza kulijua hilo sasa.

Sawa we zezeta?
 
Kama huna familia naweza kuja pma tuunganishe mawazo na mimi.

Nna mtaji mara kumi ya huo ulio nao ila bado nazubaa napata woga wa kuanza kwa sababu sina experience sana na biashara yeyote ile
 
Kuolewa ni biashara.

Kama ulikuwa hujui anza kulijua hilo sasa.

Sawa we zezeta?
Sijawahi kukutana na mjinga Kama wewe 🥺 jitambue mkuu acha mawazo ya kipumbavu jaribu kushirikisha ubongo una mikono yako ili utambue unachoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…