Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Chukua ushauri wenye faida kwako mengine achana nayo.Asante Sana be bless
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua ushauri wenye faida kwako mengine achana nayo.Asante Sana be bless
Inatosha SAS HV Bei ya korosho imeporomoka vibaya hvyo hyo laki tatu atapata kbsa mzigo na chenji itabakiKorosho pia japo nina wasiwasi na mtaji wake
Elimu yangu wewe na ukoo wenu wote hamuwezi kuifikia hata nusu yake.Hiki ki mtu ukute hata shule kilikua na shida,
Na ndiyo maana sio mod.ningekua mod ungekula ban Mwaka mzima chizi wew
[emoji16]Njoo pm nikupe mil mbili uanze biashara
Kama zimeshuka bei ni biashara nzuri pia kwa mtaji wake.Inatosha SAS HV Bei ya korosho imeporomoka vibaya hvyo hyo laki tatu atapata kbsa mzigo na chenji itabaki
Elimu yangu wewe na ukoo wenu wote hamuwezi kuifikia hata nusu yake.
Shule kwangu haijawai kuwa tatizo.
Na ndiyo maana sio mod.
Mod hawezi kuwa mtu mwenye akili finyu kama wewe.
Nimeshataja.Umesimamia kwenye faida zipo nyingi,mbona hauzitaji.
Na wewe unataka kuolewa?
Wewe biology ya form two C unaiweza?Kwa Biology uliyosoma form Two C sio?Wacha muda uzungumze.
Dogo nimejiunga JF 2015.Mbio zako fupi mbona,siku sio nyingi utakuja sema hapa matusi sio dili
Hongera sana dada yangu, huwa napenda sana wanawake wanaofanya kila juhudi njema kujikomboa.Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu.
Naombeni ushauri japo wa mawazo nifanyie biashara Gani ambayo naweza nikazalisha na kupata walau faida Na baadae hata kurudisha both vilivyopotea.
Nawaza biashara Nyingi Lakin Naona kama mtaji hautoshi. NB: Msiniseme naombeni mawazo mazuri ya kunijenga natamni nisimame mwenyewe kama wengine.
Location nipo Dar es Salaam
Duh! Halali leoAna laki 3 asaidiweje sasa
Sawa, ikitokea fursa nitakucheki hapa hapa JFMimi ni mwalimu by professional Ila pia ninaujuzi wa marketing nimefany sehm tofauti tofauti
[emoji23] achaga mawazo ya ki kabudi kabudi mkuuNimeshataja.
Ni wewe tu umeamua kutoiona.
Nimesema faida ya kwanza ni kupata mtaji kupitia mahari atakayopewa na mumewe.
Fikiria mtu atakaemuoa ampe mahari ya milioni tano je ni faida au hasara kwake?
Kumbuka mahari ni pesa ya anayeolewa hata mzazi wake hausiki nayo.
MkuuHabari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu.
Naombeni ushauri japo wa mawazo nifanyie biashara Gani ambayo naweza nikazalisha na kupata walau faida Na baadae hata kurudisha both vilivyopotea.
Nawaza biashara Nyingi Lakin Naona kama mtaji hautoshi. NB: Msiniseme naombeni mawazo mazuri ya kunijenga natamni nisimame mwenyewe kama wengine.
Location nipo Dar es Salaam
Tatizo hili suala wengi wanalichukulia kimasihara.[emoji23] achaga mawazo ya ki kabudi kabudi mkuu