Nimetafuta kwenye Quran hakuna sehemu Mungu amesema waislamu muoane

wapi Mungu kasema ukimkumbuka uende kwao ukamlejee.
2:231 Qur’an

And when you divorce women and they have [nearly] fulfilled their term, either retain them according to acceptable terms or release them according to acceptable terms, and do not keep them, intending harm, to transgress [against them]. And whoever does that has certainly wronged himself. And do not take the verses of Allah in jest. And remember the favor of Allah upon you and what has been revealed to you of the Book and wisdom by which He instructs you. And fear Allah and know that Allah is Knowing of all things.
 
Mumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa mui slam amri ya kuoa!.

Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
Sasa wewe hujaona aya iliyosema oeni wake wawili au watatu au wanne au mkishindwa oeni mmoja

Sasa si inatuambia tuoe au we ukitaka iweje
 
Mumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa muislam amri ya kuoa!.

Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
Si ndio ulicho uluza
Na waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu.

Haina uhusiano na maada yangu.
mbona hueleweki unataka nini hasa
 
Mumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa muislam amri ya kuoa!.

Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
😂😂 rudia kusoma post yako kwanza maana naona kama unakimbia uzi wako mwenyewe unaongeza vipengele ambavyo awali havikuwepo , najua ulikurupuka na haukudhania kwamba aya zoote hizo zipo anyways usikimbie swali lako mkuu.
 
Kitu pekee hawa waita wenzao kafiris wamchongo wamempa haki mwanamke labda kuwa na majini tu vingine babu 😂 utateseka tu ukiwa mwanamke huko.
 
Kwa hiyo kipaumbele kiliwekwa katika kuoa mayatima, au sio?
Aayah hii imeteremka kumzungumzia Bwana mmoja alimuoa binti ambaye ni yatima aliyekuwa akimlea na kumsimamia, kwa sababu hakuwa na mtu wa kumsimamia. Huyo bwana hakumuoa kwa sababu ya kumpenda kwani alikuwa haamiliani naye vizuri. Akamuoa kwa sababu yatima huyo alikuwa ana (mali ya) shamba la mitende. Hapo ikateremka Aayah hii.” [Hadiyth ya Mama wa Waumini ‘Aaishah (رضي الله عنها) Al-Bukhaariy na Muslim]

Hadiyth hii inahusiana na sababu ya kuteremka kwa Surah An-Nisa 4:3. Inasimulia kisa cha mtu aliyekuwa mlezi wa yatima na akataka kumuoa ili apate manufaa ya mali yake, lakini hakuwa na mapenzi ya kweli wala hakumtendea haki.

Katika Uislamu, yatima ana haki zake, na wale wanaowalea wanapaswa kuwa waaminifu kwa mali na heshima zao. Katika tukio hili, mtu huyo alitaka kumuoa yatima kwa sababu alikuwa na shamba la mitende, si kwa upendo au kwa ajili ya kumtunza kwa uadilifu. Hii ilikuwa ni aina ya dhulma, kwa sababu ndoa hiyo haikuwa kwa nia njema.

Kwa hiyo, aya iliteremka kuwaonya wale wanaowalea mayatima wasiwe na tamaa ya mali yao na waepuke dhulma. Ikiwa mtu anaogopa kutenda dhulma kwa yatima, basi ni bora asimuoe kwa sababu ya mali yake. Badala yake, anaweza kuoa wanawake wengine kwa haki na uadilifu.
 
Havina maana yatima usioe kwa dhulma ila badala yake oa 2,3,4 kwa haki na uadilifu 😂
 
Back
Top Bottom