Kila kilichoelekezwa katika quran ni amri hamna siasa ukiambiwa , Simamisha swala nenda kasali kweli, ukiambiwa acha zinaa acha kweli, usipoacha umekufuru, ila yako mambo yaliyoelekezwa na kutolewa option ya pili mfano unaruhusiwa kuoa wake wanne ila kama huna uwezo oa mmoja na uwe muadilifu, kwenda kuhiji ni kwa yule mwenye uwezo usipokua na uwezo basi hamna namna kwahiyo hakuna negotiation ni maelekezo vipi muumini aishi.
Unasema haujaamrishwa kuoa sasa mwanaume uliekamilika unaweza vipi kuishi bila mke? Kama unaweza sawa ishi bila mke ila hakikisha haufanyi zinaa maana zinaa ni uchafu na ni katika dhambi zenye kuangamiza zilizokatazwa kwenye Quran
Jazakallah khairun akhi
Kama umesoma post yangu vizuri utagundua ulichofanya ni kujazia nyama , ndoa ni moja ya mambo haliyopewa machaguzi kwa waumini kutokana na sababu fulani fulani .
Mfano mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume na anajua kabisa hawezi kumridhisha mwenza wake huyu ndoa kwake ni mpaka pale atakapopona maana akioa fitna itakuwa kubwa zaidi , vivyo hivyo mwanaume khanithi haruhusiwi kuoa kabisa maana atashindwa kumtimizia huyo mwenza wake na kuleta fitna kubwa zaidi .
Kwa wanaume marijali basi wataoa pindi tu watakapokuwa na angalau uwezo wa kutunza mke/familia la! Basi wajizuilie kwa kufunga mpaka pale Allah (the almighty ) atakapowafanyia wepesi dalili ni hadithi hii hapa.
Hadith
حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى التَّمِيمِيُّ، وَأَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ وَمُحَمَّدُ بْنُ الْعَلاَءِ الْهَمْدَانِيُّ جَمِيعًا عَنْ أَبِي مُعَاوِيَةَ، - وَاللَّفْظُ لِيَحْيَى أَخْبَرَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، - عَنِ الأَعْمَشِ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ، عَنْ عَلْقَمَةَ، قَالَ كُنْتُ أَمْشِي مَعَ عَبْدِ اللَّهِ بِمِنًى فَلَقِيَهُ عُثْمَانُ فَقَامَ مَعَهُ يُحَدِّثُهُ فَقَالَ لَهُ عُثْمَانُ يَا أَبَا عَبْدِ الرَّحْمَنِ أَلاَ نُزَوِّجُكَ جَارِيَةً شَابَّةً لَعَلَّهَا تُذَكِّرُكَ بَعْضَ مَا مَضَى مِنْ زَمَانِكَ . قَالَ فَقَالَ عَبْدُ اللَّهِ لَئِنْ قُلْتَ ذَاكَ لَقَدْ قَالَ لَنَا رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " يَا مَعْشَرَ الشَّبَابِ مَنِ اسْتَطَاعَ مِنْكُمُ الْبَاءَةَ فَلْيَتَزَوَّجْ فَإِنَّهُ أَغَضُّ لِلْبَصَرِ وَأَحْصَنُ لِلْفَرْجِ وَمَنْ لَمْ يَسْتَطِعْ فَعَلَيْهِ بِالصَّوْمِ فَإِنَّهُ لَهُ وِجَاءٌ " .
'Alqama reported:
While I was walking with 'Abdullah at Mina, 'Uthman happened to meet him. He stopped there and began to talk with him. Uthman said to him: Abu 'Abd al-Rahman, should we not marry you to a young girl who may recall to you some of the past of your bygone days; thereupon he said: If you say so, Allah's Messenger (ﷺ) said: 0 young men, those among you who can support a wife should marry, for it restrains eyes from casting (evil glances). and preserves one from immorality; but those who cannot should devote themselves to fasting for it is a means of controlling sexual desire.
Sahih
Sahih Muslim, 1400 a
In-Book Reference: Book 16, Hadith 1
Na Allah (the almighty ) anajua zaidi.