Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
2:231 Qur’anwapi Mungu kasema ukimkumbuka uende kwao ukamlejee.
Rejea comment no #06Mumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa muislam amri ya kuoa!.
Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
Sasa wewe hujaona aya iliyosema oeni wake wawili au watatu au wanne au mkishindwa oeni mmojaMumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa mui slam amri ya kuoa!.
Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
Na waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu.Rejea comment no #06
wake wawili au watatu au wanne au mkishindwa oeni mmojaSasa wewe hujaona aya iliyosema oeni wake wawili au watatu au wanne au mkishindwa oeni mmoja
Sasa si inatuambia tuoe au we ukitaka iweje
Si ndio ulicho uluzaMumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa muislam amri ya kuoa!.
Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
mbona hueleweki unataka nini hasaNa waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu.
Haina uhusiano na maada yangu.
Yeah, sasa we huoni kuwa watu wanaoa mmoja kwa sababu hawawezi kuoa zaidi ya hapowake wawili au watatu au wanne au mkishindwa oeni mmoja
Wewe unaweza kuoa wawili alafu ukishindwa ndio uoe mmoja?
Sio haeleweki bali ni mpumbavu kashavuka cheo cha ujinga ni heri uachane nae mkuu.Si ndio ulicho uluza
mbona hueleweki unataka nini hasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mi na sikia kilishushwa kama kimondo
😂😂 rudia kusoma post yako kwanza maana naona kama unakimbia uzi wako mwenyewe unaongeza vipengele ambavyo awali havikuwepo , najua ulikurupuka na haukudhania kwamba aya zoote hizo zipo anyways usikimbie swali lako mkuu.Mumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa muislam amri ya kuoa!.
Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
Hajui anacho takaSasa wewe hujaona aya iliyosema oeni wake wawili au watatu au wanne au mkishindwa oeni mmoja
Sasa si inatuambia tuoe au we ukitaka iweje
Kwa hiyo kipaumbele kiliwekwa katika kuoa mayatima, au sio?3. Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima, basi oeni waliokupendezeni katika wanawake (wengine); wawili au watatu au wanne.
HeheheHajui anacho taka
What is kafiriHawezi kuona Kafiri Aya hizi mana amekusudia ubishi
Aayah hii imeteremka kumzungumzia Bwana mmoja alimuoa binti ambaye ni yatima aliyekuwa akimlea na kumsimamia, kwa sababu hakuwa na mtu wa kumsimamia. Huyo bwana hakumuoa kwa sababu ya kumpenda kwani alikuwa haamiliani naye vizuri. Akamuoa kwa sababu yatima huyo alikuwa ana (mali ya) shamba la mitende. Hapo ikateremka Aayah hii.” [Hadiyth ya Mama wa Waumini ‘Aaishah (رضي الله عنها) Al-Bukhaariy na Muslim]Kwa hiyo kipaumbele kiliwekwa katika kuoa mayatima, au sio?
Havina maana yatima usioe kwa dhulma ila badala yake oa 2,3,4 kwa haki na uadilifu 😂Aayah hii imeteremka kumzungumzia Bwana mmoja alimuoa binti ambaye ni yatima aliyekuwa akimlea na kumsimamia, kwa sababu hakuwa na mtu wa kumsimamia. Huyo bwana hakumuoa kwa sababu ya kumpenda kwani alikuwa haamiliani naye vizuri. Akamuoa kwa sababu yatima huyo alikuwa ana (mali ya) shamba la mitende. Hapo ikateremka Aayah hii.” [Hadiyth ya Mama wa Waumini ‘Aaishah (رضي الله عنها) Al-Bukhaariy na Muslim]
Hadiyth hii inahusiana na sababu ya kuteremka kwa Surah An-Nisa 4:3. Inasimulia kisa cha mtu aliyekuwa mlezi wa yatima na akataka kumuoa ili apate manufaa ya mali yake, lakini hakuwa na mapenzi ya kweli wala hakumtendea haki.
Katika Uislamu, yatima ana haki zake, na wale wanaowalea wanapaswa kuwa waaminifu kwa mali na heshima zao. Katika tukio hili, mtu huyo alitaka kumuoa yatima kwa sababu alikuwa na shamba la mitende, si kwa upendo au kwa ajili ya kumtunza kwa uadilifu. Hii ilikuwa ni aina ya dhulma, kwa sababu ndoa hiyo haikuwa kwa nia njema.
Kwa hiyo, aya iliteremka kuwaonya wale wanaowalea mayatima wasiwe na tamaa ya mali yao na waepuke dhulma. Ikiwa mtu anaogopa kutenda dhulma kwa yatima, basi ni bora asimuoe kwa sababu ya mali yake. Badala yake, anaweza kuoa wanawake wengine kwa haki na uadilifu.
Umemaliza mjadala,ila lugha ya english,mleta uzi itamchanganya.