Nimetafuta kwenye Quran hakuna sehemu Mungu amesema waislamu muoane

Mumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa muislam amri ya kuoa!.

Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
Wewe DOCTOR TITO wacha kuvuruga watu humu jukwaani,

Umesema upewe ayaa umepewa,Sasa unahamisha magoli na kuleta hoja mfu.
 
Mumeleta maandiko marefu sana bila kuweka andiko wapi Mungu anampa muislam amri ya kuoa!.

Nilipenda kuona hiyo amri, vigezo na masharti ya kuoa. Lakini maandiko yenu yote yame skip hitaji langu mama
Amri = Lazima,

Muislamu halazimishwi kuoa, anoa kama ana uwezo wa kuoa
Kama unaweza kutokuzini maisha yako yote hadi kifo, fresh usioe
 
Na Allah Amekuumbieni wake katika jinsi yenu, na Akakujaalieni kutoka kwa wake zenu watoto na wajukuu (16: 72).

Na katika Ishara Zake ni kuwa Amekuumbieni wake zenu katika jinsi yenu ili mupate utulivu kwao, Naye Amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Bila shaka katika hayo zimo Ishara kwa watu wanaofikiri (30: 21).
 
Wanaolewa wanawake wanne maana kila mmoja ana haki ya tendo na wanaume ni wachache na wengine ni wajane na wanauhitaji mkubwa sana wa tendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…