Nimetafuta kwenye Quran hakuna sehemu Mungu amesema waislamu muoane

Usisahau kuwa tuna hadithi na sunnah au ulikuwa ujui
 
Kweli wewe hujawahi kusoma Quran kabisa!
Maswali yako mengi majibu yake yapo kwenye suuratul Annisaa mwanzonimwanzoni ngoja nikipata nafasi nitakudadavulia!.
 

Jazakallah khairun akhi

Kama umesoma post yangu vizuri utagundua ulichofanya ni kujazia nyama , ndoa ni moja ya mambo haliyopewa machaguzi kwa waumini kutokana na sababu fulani fulani .

Mfano mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume na anajua kabisa hawezi kumridhisha mwenza wake huyu ndoa kwake ni mpaka pale atakapopona maana akioa fitna itakuwa kubwa zaidi , vivyo hivyo mwanaume khanithi haruhusiwi kuoa kabisa maana atashindwa kumtimizia huyo mwenza wake na kuleta fitna kubwa zaidi .

Kwa wanaume marijali basi wataoa pindi tu watakapokuwa na angalau uwezo wa kutunza mke/familia la! Basi wajizuilie kwa kufunga mpaka pale Allah (the almighty ) atakapowafanyia wepesi dalili ni hadithi hii hapa.

Hadith

حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى التَّمِيمِيُّ، وَأَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ وَمُحَمَّدُ بْنُ الْعَلاَءِ الْهَمْدَانِيُّ جَمِيعًا عَنْ أَبِي مُعَاوِيَةَ، - وَاللَّفْظُ لِيَحْيَى أَخْبَرَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، - عَنِ الأَعْمَشِ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ، عَنْ عَلْقَمَةَ، قَالَ كُنْتُ أَمْشِي مَعَ عَبْدِ اللَّهِ بِمِنًى فَلَقِيَهُ عُثْمَانُ فَقَامَ مَعَهُ يُحَدِّثُهُ فَقَالَ لَهُ عُثْمَانُ يَا أَبَا عَبْدِ الرَّحْمَنِ أَلاَ نُزَوِّجُكَ جَارِيَةً شَابَّةً لَعَلَّهَا تُذَكِّرُكَ بَعْضَ مَا مَضَى مِنْ زَمَانِكَ ‏.‏ قَالَ فَقَالَ عَبْدُ اللَّهِ لَئِنْ قُلْتَ ذَاكَ لَقَدْ قَالَ لَنَا رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ يَا مَعْشَرَ الشَّبَابِ مَنِ اسْتَطَاعَ مِنْكُمُ الْبَاءَةَ فَلْيَتَزَوَّجْ فَإِنَّهُ أَغَضُّ لِلْبَصَرِ وَأَحْصَنُ لِلْفَرْجِ وَمَنْ لَمْ يَسْتَطِعْ فَعَلَيْهِ بِالصَّوْمِ فَإِنَّهُ لَهُ وِجَاءٌ ‏"‏ ‏.‏

'Alqama reported:
While I was walking with 'Abdullah at Mina, 'Uthman happened to meet him. He stopped there and began to talk with him. Uthman said to him: Abu 'Abd al-Rahman, should we not marry you to a young girl who may recall to you some of the past of your bygone days; thereupon he said: If you say so, Allah's Messenger (ﷺ) said: 0 young men, those among you who can support a wife should marry, for it restrains eyes from casting (evil glances). and preserves one from immorality; but those who cannot should devote themselves to fasting for it is a means of controlling sexual desire.

Sahih

Sahih Muslim, 1400 a
In-Book Reference: Book 16, Hadith 1

Na Allah (the almighty ) anajua zaidi.
 
Kwa kiswahili na ni aya ipi
Suratul Annisaa aya ya 3
{ فَٱنكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ مَثۡنَىٰ وَثُلَٰثَ وَرُبَٰعَۖ فَإِنۡ
خِفۡتُمۡ أَلَّا تَعۡدِلُواْ فَوَٰحِدَةً أَوۡ مَا مَلَكَتۡ أَيۡمَٰنُكُمۡۚ ذَٰلِكَ أَدۡنَىٰٓ أَلَّا تَعُولُواْ }
basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.
 
Maa shaa Allaah.
Naona waislamu wanajitahidi sana kukariri aya zinazohusiana na mambo ya ndoa na talaka.
Allaah atuwafikishe kuzifanyia kazi ili familia zetu ziwe katika mfumo ambao Allaah anauridhia!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…