Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Dah unakosaje wanawake mkuu ,nenda kwenye mikutano ya mwamposa Vizia wadada wa huko mikutanoni utimize miujiza yao mkuu.
Sio wote wana shida hiyo mkuuuu

Wanatema big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Wewe unaonekana ni wale wakaka Tunawaita Mr. Perfect.. kiukweli wadada hatupendapi wakaka wa hivyo utaachwa kila siku. Nyie huwaga mmezaliwa miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mnajionaga perfect kweli
Duuh kweli aseee mi mwenyewe nimezaliwa december 31
 
Duuh bahati yako mkuuu
 
Pole mkuu
 
Ugumu ni nini?
Mkuu kuna watu tunagundu kwenye suala zima la mapenzi aseee

Maana unaweza kuta mwanaume wa kawaida, dereva tax, lakini anagombaniwa na wanawake wa aina zote kimatabaka ya kiuchumi

Na pia unaweza kuta mwanaume mwingine hana mvuto au ana look average lakini kila mwanamke anamkimbia tu

We utasemaje sasa hapo

Hivi vitu ni changamoto kwa kweli kuna mwanangu kamuoa muhindi lakini alikuwa muuza flash buguruni saivi anasomeshwa UK na muhindi kamjaza mimba na alikuwa mtu wa kawaida kabisa


So sad πŸ˜”
 
Labda kuna tabia unazo zinawakimbiza wanawake.
 
Labda kuna tabia unazo zinawakimbiza wanawake.
Duuuh sidhani aseee watu wana nyota zao maana ukisema utangulize pesa utakutana na malaya tu upende, usipende

Na hapo nina mifano hai anyway acha tuamishie nguvu sehemu zingine tu sasa
 
Wa kupoozea unapata lakini?

Duh.. halafu mbona unajihukumu mwenyewe...
πŸ‘‡πŸ‘‡
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Utapata bhana, wacha kujikatia tamaa
 
Hiki kitu watu wengi hawajui kuna tofauti ya sex na love, fedha inakupa gurantee ya sex na sio love
Malaya anakupa sex ila mke anakupa love
Kuwa makini mkuuu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…