Yes INDEED
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 304
- 622
Sio wote wana shida hiyo mkuuuuDah unakosaje wanawake mkuu ,nenda kwenye mikutano ya mwamposa Vizia wadada wa huko mikutanoni utimize miujiza yao mkuu.
Wanatema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote wana shida hiyo mkuuuuDah unakosaje wanawake mkuu ,nenda kwenye mikutano ya mwamposa Vizia wadada wa huko mikutanoni utimize miujiza yao mkuu.
Duuh kweli aseee mi mwenyewe nimezaliwa december 31Wewe unaonekana ni wale wakaka Tunawaita Mr. Perfect.. kiukweli wadada hatupendapi wakaka wa hivyo utaachwa kila siku. Nyie huwaga mmezaliwa miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mnajionaga perfect kweli
Duuh bahati yako mkuuuYani wewe unaonekana una porojo Sana fanya chit chat za hapa na pale osha rungu kwao kwa Sana ndo itakuja tu wewe
Hao wanawake nimewala Sana Nina ambao wameshaolewa ninaweza wachukua muda wowote, ambao wanataka ndoa ninao watano , wanaotaka mtoto wako wanne,
Ila wewe unatafuta mmoja ,unaanza ongea mambo ya serious aliekwambia hawa ndugu zetu wanapenda ukweli Ni Nani, ?
Daaah kwa kweli 😂😂😂😅Mleta mada wewe ni memba wa CHAPUTA namba yako ya uanachama ni 689026718/2020
Unataka uhame chama chako bila kuaga uongozi,omba baraka za viongozi utakuta kila binti anakubali kiroho safi.
Duuh remy ongala anasemwa sana aiseeWewe mwenyewe tu unashindwa kucheza karata zako vizuri.
Mimi na sura yangu mbaya kama Remi Ongala na sina mbele wala nyuma ila naliliwa ndoa na mtoto wa mtu kila siku.
Sio kirahisi hivyo pesa inavutia malayaKatafute pesa kwanza ukishakuwa nazo wanawake Wenyewe watakutafuta.
Usiulize kiasi Cha pesa unachotakiwa kutafuta ila nakushauri utafute pesa.
Ugumu ni nini?Sio kirahisi kama unavyodhani mkuuu 😁
Nimeshaamua kuishi single kiroho safiWewe unaonekana ni wale wakaka Tunawaita Mr. Perfect.. kiukweli wadada hatupendapi wakaka wa hivyo utaachwa kila siku. Nyie huwaga mmezaliwa miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mnajionaga perfect kweli
Pole mkuuMimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Mkuu kuna watu tunagundu kwenye suala zima la mapenzi aseeeUgumu ni nini?
Labda kuna tabia unazo zinawakimbiza wanawake.Mkuu kuna watu tunagundu kwenye suala zima la mapenzi aseee
Maana unaweza kuta mwanaume wa kawaida, dereva tax, lakini anagombaniwa na wanawake wa aina zote kimatabaka ya kiuchumi
Na pia unaweza kuta mwanaume mwingine hana mvuto au ana look average lakini kila mwanamke anamkimbia tu
We utasemaje sasa hapo
Hivi vitu ni changamoto kwa kweli kuna mwanangu kamuoa muhindi lakini alikuwa muuza flash buguruni saivi anasomeshwa UK na muhindi kamjaza mimba na ni mtu wa kawaida kabisa
So sad 😔
Duuuh sidhani aseee watu wana nyota zao maana ukisema utangulize pesa utakutana na malaya tu upende, usipendeLabda kuna tabia unazo zinawakimbiza wanawake.
Wa kupoozea unapata lakini?Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Utapata bhana, wacha kujikatia tamaaChamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Hiki kitu watu wengi hawajui kuna tofauti ya sex na love, fedha inakupa gurantee ya sex na sio loveSio kirahisi hivyo pesa inavutia malaya
Sio mke wa kuweka ndani we haya 😂😂
Umemaliza thread ifungwe sasaHiki kitu watu wengi hawajui kuna tofauti ya sex na love, fedha inakupa gurantee ya sex na sio love
Malaya anakupa sex ila mke anakupa love
Kuwa makini mkuuu 👇👇👇👇👇👇Hiki kitu watu wengi hawajui kuna tofauti ya sex na love, fedha inakupa gurantee ya sex na sio love
Malaya anakupa sex ila mke anakupa love
Sasa wewe unataka love au sexHiki kitu watu wengi hawajui kuna tofauti ya sex na love, fedha inakupa gurantee ya sex na sio love
Malaya anakupa sex ila mke anakupa love
Unataka kusema kwamba nilikua nakosea