Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

1. Una hela?
2. Abdalah kichwa wazi nimzima?
3. Umesha rudisha kadi ya chaputa?
4. Una akili timamu?
5. Ni mnene kupitiliza?
Kama majibu Ni tick kwanini ukose mwanamke?
Hata singo maza wanakukataa? You are not serious.
 
Kupata mke wa kuoa unadhani ni rahisi hivyo!! Pambana kijana.

Ila, tafuta hela.
 
Jaribu kuvaa smart,pengine unajiweka Kama babu asa atakutaka nani?,usiwe mpole sanaaa ujue wanaume wapole huwa wanaboaaa,usiwe kila kitu we ni ndio,uwa na msimamo mda mwingine.afu usipende kulala mika sana unapo mtaka mtu kwa kisingizio cha ww unapenda kuwa muwaz....hio pia ina boaaa,ukimtongoza mtu hebu uwe una mpa nafasi hata miez mitatu ndio uwanze maswala ya ndoa,yaan mpe nafasi akufahamu sithan Kama utakataliwa,USIJIWEKE KIZAMANI SANAAAAA,WANAWAKE WENGI WA CENTURY HII WANAPENDA SWAGGER.
 
πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ˜πŸ˜˜
 
''Element za wale wazee wakoloni!!!!, namuona mdingi wetu hapa navuta na picha, hatari sana. Nyumbani tulimpa jina lake hilo ambalo hakuwahi kulijua hadi Leo na tumekuwa wakubwa bado tunalitumia,..
 
Pole mkuu
 
You are not serious...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…