Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
- #261
Sio mkoloni mim ni introvertsNin Sasa...kama mkoloni nitamsaidieje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mkoloni mim ni introvertsNin Sasa...kama mkoloni nitamsaidieje
Unajaribu kila aina ya mwanamkeEeeh Kwa nini sasa
SI umesema hapo juu auSio mkoloni mim ni introverts
wepo wengi sanaKupata mke wa kuoa unadhani ni rahisi hivyo!! Pambana kijana.
Ila, tafuta hela.
Haya.wepo wengi sana
don't praise being introvert,is a sign of selffishness,avoid itSio mkoloni mim ni introverts
Jaribu kuvaa smart,pengine unajiweka Kama babu asa atakutaka nani?,usiwe mpole sanaaa ujue wanaume wapole huwa wanaboaaa,usiwe kila kitu we ni ndio,uwa na msimamo mda mwingine.afu usipende kulala mika sana unapo mtaka mtu kwa kisingizio cha ww unapenda kuwa muwaz....hio pia ina boaaa,ukimtongoza mtu hebu uwe una mpa nafasi hata miez mitatu ndio uwanze maswala ya ndoa,yaan mpe nafasi akufahamu sithan Kama utakataliwa,USIJIWEKE KIZAMANI SANAAAAA,WANAWAKE WENGI WA CENTURY HII WANAPENDA SWAGGER.Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
🦋🦋🦋🦋😍😘Jaribu kuvaa smart,pengine unajiweka Kama babu asa atakutaka nani?,usiwe mpole sanaaa ujue wanaume wapole huwa wanaboaaa,usiwe kila kitu we ni ndio,uwa na msimamo mda mwingine.afu usipende kulala mika sana unapo mtaka mtu kwa kisingizio cha ww unapenda kuwa muwaz....hio pia ina boaaa,ukimtongoza mtu hebu uwe una mpa nafasi hata miez mitatu ndio uwanze maswala ya ndoa,yaan mpe nafasi akufahamu sithan Kama utakataliwa,USIJIWEKE KIZAMANI SANAAAAA,WANAWAKE WENGI WA CENTURY HII WANAPENDA SWAGGER.
Sijisifii ndo jinsi nilivyodon't praise being introvert,is a sign of selffishness,avoid it
💯💯💯 Ipo damuni hiyo sioSijisifii ndo jinsi nilivyo
Pole mkuuMimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
kama huna basi tulia, utapata tu acha kutafuta mke atakuja tu muda ambao hutarajiiHizo tabia sina hata moja
You are not serious...Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Kivip siko seriousYou are not serious...
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na uncertainitykama huna basi tulia, utapata tu acha kutafuta mke atakuja tu muda ambao hutarajii