Kazi kwake[emoji2][emoji2]Inawezekana ni aina ya wanawake unaowataka wanafanania wa bongo movie. Nina dada yangu ana mtoto mmoja na ni kibonge mwepesi[emoji854]
Kama kaka yake ningependa apate mchumba unasemaje hapo. Kaka lazima apate shemeji.
Ahahahahaha nimecheka ahahaha kweli jf kuna mabaharia sana ahahahahaInawezekana ni aina ya wanawake unaowataka wanafanania wa bongo movie. Nina dada yangu ana mtoto mmoja na ni kibonge mwepesi🙃
Kama kaka yake ningependa apate mchumba unasemaje hapo. Kaka lazima apate shemeji.
😬 ajue tu dada yangu achezew ni wa kuoaKazi kwake[emoji2][emoji2]
Mambo kigori...😋Mchaguwa jembe si mkulima.
Ilo swala la kuoa nimesha-licancel 100 percent kiroho safiNimekuelewa....ila unaeza ukaja ukakutana na anaekufaa kwa bahati mbaya tu au nzuri wakati ukiwa hata huna habari...
❤️Mbona umri bado sana? Nilioa nikiwa na 40
Pole sana Mkuu. Fika Njombe utapata wabena wanzuriMim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's.
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa. Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Utoto Raha Sana.Kama una gari, una nyumba unakosaje mke
Mchagua na sio mchaguwa usituharibie kiswahiliMchaguwa jembe si mkulima.
Hauko serious,hadi beki3 kakukataa,hii ni chaiNilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakawa magumu
Kama swaga zako ni za kujifanya unataka kuowa utasubiri sana.Mim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's.