Mim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's.
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa. Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying