Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Inawezekana ni aina ya wanawake unaowataka wanafanania wa bongo movie. Nina dada yangu ana mtoto mmoja na ni kibonge mwepesi🙃
Kama kaka yake ningependa apate mchumba unasemaje hapo. Kaka lazima apate shemeji.
Ahahahahaha nimecheka ahahaha kweli jf kuna mabaharia sana ahahahaha
 
Tafuta mwanamke wa hadhi yako mkuu watakuja mpaka utawakimbia mwenyewe.

Alafu kumtongoza binti kwa kumuambia utamuoa haikufanyi uaminike kwa huyo mwana mke kwa sababu wakati ww una muambia hivyo wenda amesha ambiwa na wanaume wengi tu lakini mwisho wakamla na kumkimbia kwa hiyo na ww ukimuingia kwa gia hiyo anakuona ni wale wale.
 
Mim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's.

Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa. Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.

Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu

Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.

Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Pole sana Mkuu. Fika Njombe utapata wabena wanzuri
 
Kama swaga zako ni za kujifanya unataka kuowa utasubiri sana.

Ndoa huwa inaanzia kwenye mahusiano kwanza chemistry zikikubali mtoto wa kike anakutambulisha kwao.

Ukitaka hao wa kuowa bila dating nenda makanisa ya walokole huko ndio kila siku wanaombewa kutafuta wachumba, muone Mchungaji umpe na fungu lake la kumi akuunganishe.
 
Wajumbe baadhi hawasikii katazo la kikao cha mwisho wajumbe kwa sauti moja tukiwa na kwikwi tulipiga kelele KATAAAA KATAAA KATAA NDOAAA
 
Back
Top Bottom