Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Ni kweli nitakua na gundu
Chukua mavi ya nguruwe weka kwenye ndoo ya maji lita ishirini. Kisha funika kwa siku tatu na uoge nayo, nuksi zote zinatoka

Niko pale nimekaa nakunywa kahawa ukipona uje unishukuru na kitu kidogo 😄
 
Mbona umri bado sana? Nilioa nikiwa na 40
Duh 40, mm nlioa na 29 aisee nlikua nimepanga nyumba nzima mke wangu alikuwa na 22 yrs siku moja akaja mgeni akatukuta mm na mke wangu tumekaa nje mida ya jioni tunapiga stor na mtoto wetu mta huo ana miaka 2 akatusalimia akauliza naomba mniitie baba mwenye nyumba, mke wangu akacheka kwanza then akasema huyu unayemwona ndo baba mwenye nyumba na mm ndo mama mwenye nyumba. Mzee yule hakuamini coz nyumba ilikuwa kubwa na sisi tunaonekana wadogo sana.
 
Oya mi ninavyojua mtt wa kike ukimtangazia ndoa mapema anaelewa km amekulewa sema ndo unatakiwa ukae Kwenye huo mstar wa ndoa ila ukianza kuleta hbar za kutaka kuichakata mbususu kabla atahic ndoa ilikuwa gia tu
 
Tafuta mwanamke utakayeweza kuvumilia mazaifu yake na mwenye uwezo wakuvumilia mazaifu yako ,hakuna mkamilifu hata wewe una mazaifu kibao.

So kupitia ndoa mnakamilishana na kurebishana mazaifu yenu.Upweke ni mbaya kuliko ugonjwa wowote ule duniani,usikie tu kwa wenzio.

Hiyo situation sio peke yako wanaume wengi tunakutana nazo ila bado haujakata tamaa tunaamini tutapata.
 
Mzee ulichukua kinda kabisa[emoji23] hongera sana kwakweli
 
Miaka 30 bado kinda kabisa. Akina hayati MENGI na MREMA Wameoa walioa tena uzeeni huko. Simple logic; "pesa" na "mipango". Wanawake wenye tamaa ya pesa watakuganda ukiwa na pesa hata uwe mshenzi kivipi. Angalia kwenye jamii yako, kuna wanaume ni washenzi na wanamiliki wake kadhaa. Lakini pia hata kama huna pesa, kuna wanawake hata hawana shida na pesa zako ila wanataka mwanaume mwenye mipango yenye matumaini. Ukiwa na mipango bora mwanamke yupo tayari kuwa nawewe hata nje mkiweka net na kulala kwenye mkeka tu...ila ahakikishiwe kesho yake!. Ama sivyo unahangaika na wasio na hulka ya kuolewa
 
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…